Wabunge wa CHADEMA kurejea Bungeni kuanzia leo

Wapuuzi tu. Wakumbuke na kurudisha posho walizochukua bila kuhudhuria bungeni.

Kuna msemo maarufu Sana kwa Sasa unao trend kwamba: UCHUMI UKIFA au KUPOROMOKA tokana na COVID-19 UNAWEZA KUUFUFUA LAKINI UHAI UKITOWEKA HUWEZI KUUFUFUA.
CHADEMA wameangalia umuhimu wa Afya kuliko PESA.
Hivi leo hii CCM wanaweza kurudisha Uhai wa wale WABUNGE 3 WALIOFIA/ATHIRIKA BUNGENI???
 
Sasa wanarudi bungeni kufanya nini? ina maana corona waliyoikimbia bungeni imeisha?
 
Sasa wanarudi bungeni kufanya nini? ina maana corona waliyoikimbia bungeni imeisha?

Unataka kunambia ukiwekwa Quarantine ya 14 days ukitoka Covid-19 inakuwa imeisha? Acha maswali ya kihanixxx.....!!!
 
Unataka kunambia ukiwekwa Quarantine ya 14 days ukitoka Covid-19 inakuwa imeisha? Acha maswali ya kihanixxx.....!!!
Acheni mambo ya kitoto. Unakimbia corona halafu unarudi kwenye corona baada ya wiki mbili ni akili au matope. Mrudishe na hiyo posho mliyochukua bila kuhudhuria bunge. Aliyewapa jina la nyumbu hakukosea.
 
Mku hapo ningefikiri Chadema wangelazimisha na wenzao wapime ndipo na wao waliokuwa "Karantini" wakubali kujumuika sasa wao Chadema kabisa wapo tayari kujipeleka kwa wale ambao hawajapima? Ladba watwambie sasa wamefuata pesa na kusahau msimamo wao wamwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…