mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 593
- 308
Wafuasi tulishaanza kabla hata ya wabunge wetu
Ukiwa sisiemu,unafanywa zezeta automatically.Wabunge wa CCM hovyo sana. Yani wanamuona kabisa mwenyekiti wao kala kona wao wamebaki tu kama mazuzu. Yani hawajielewi hata kidogo.
Na hela zao zitaliwa ngoja uchaguzi uwe huru uoneWabunge wa ccm wanauchungu na posho sana ili waje wahonge kwenye uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi nilizopata ni kuwa wabunge wote Wa chadema wanaumwa corona wanaji lock down wajifukizie
kwahiyo Ndigai anaendelea tu kuchapa kazi?Kama unaona kazi inahatarisha uhai wako, wewe tulia nyumbani kuliko kwenda kutulia kaburini. Hakuna mbadala wa uhai wa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa siasaniWabunge ni watu wanaoongoza kwa ubinafsi sana nchi hii. Walishinikiza yote yafanyike ilà wao hawakujigusa, wanatamani posho ya makalio utadhani hawana hela. Bora hao chadema wamejitambua...
KUNA MAISHA BAADA YA COVID19 TUTUNZE AKIBA YA MANENO, HAKUNA ANAYEPENDA WATU WAFE, HATA HUKO WALIKOLOCKDOWN WATU WAMEKUFA.Safi sana akili kubwa.....acha yabaki mambwa hayo hayana huruma na watz kazi yao kufikilia posho na kumsifia rais etu wapate vyeo......
HONGERA SANA CHADEMA KWA UKOMAVU HUU MNAZIDI KUONYESHA NJIA FOR THE LAST 15 YEARS TUNAWAKUBALI SANA ILA TUME YA UCHAGUZI NA DOLA NDIO TATIZO
Umenisoma vizuri mkuu? Nimesema kama unaona inahatarisha........, Sasa yeye hajaona hiyo hatari aendelee tu kuchapa kazi.kwahiyo Ndigai anaendelea tu kuchapa kazi?
Unaonge kirahisi sana.....huoni viongozi wako wanavyofanya utani na huu ugonjwa.....KUNA MAISHA BAADA YA COVID19 TUTUNZE AKIBA YA MANENO, HAKUNA ANAYEPENDA WATU WAFE, HATA HUKO WALIKOLOCKDOWN WATU WAMEKUFA.
Duh, afadhali ni tetesi, sasa moyo wangu umetulia.Tetesi nilizopata ni kuwa wabunge wote Wa chadema wanaumwa corona wanaji lock down wajifukizie