Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Na hata Watu Wawili ambao ndiyo Vinara wa Kuwashawishi Watanzania Wajifukizie Kihistoria inasemekana ni Washirikina sana.
Duh kumbe nilikua cjui sema tufuate ushaur wa wataalam kama wanavoelekeza kusudi tuwe salama sizan kama tukipuuzia maelekezo ya wataalam tukabase kwenye kujifukiza tutafika..... Changes begina with you

Its not over until its over...[emoji769]
 
Dr Akili,

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kukimbia au Kugoma huko kwa Manesi na Kitendo cha Wabunge wa CHADEMA Kususia kuendelea na Vikao kutokana na Janga lililopo la COVID-19.

Manesi na Wataalam wa Afya wanakimbia ili Kuokoa Maisha yao na pia ni sehemu ya Kuishinikiza Serikali kupitia Wizara husika ( ya Afya ) iweze Kusikia Kilio chao na kiharakishe upatikanaji wa Vifaa ambavyo vitawawezesha wao kufanya Kazi zao kwa Usalama zaidi. Hata Manesi wa India, Bolivia, Iran, Italia na hata hapo Jirani Uganda nao waligoma mwanzoni.

Wabunge wa CHADEMA hawajagoma kama sehemu ya Wao kuonyesha Uwoga wao au Kukimbia bali ni Kitendo cha Kijasiri walichokifanya kama cha Kujilinda ukizingatia Watu waliokufa hadi hivi sasa ni Wenzao ( Wabunge ) hivyo wamehisi huenda Kirusi kipo huko Bungeni kwa sana hivyo wanataka Shughuli za Bunge zisitishwe ili waokoe Vifo zaidi baina yao.

Mwisho kabisa nakuuliza unapowaita Wabunge wa CHADEMA kuwa ni Waoga wakati walikuwepo Bungeni na wakatoka huku huyo Mtu unayemtetea Wewe na Kujipendekeza Kwake Kakimbia Magogoni na Chamwino na anatoa Maelekezo akiwa Chumbani Shambani Kwake huku akichungulia nani hapa ndiyo Mwoga na kawakimbia Watanzania?
 
Ni Scientific Research gani ilifanyika na ikathibitishwa na WHO kama Kujifukiza inasaidia sana Kujikinga na COVID-19 Ndugu?
Misukule inajua nini inajua kukataa tu imeshatolewa ufahamu haijielewi
 
Hizo mask wanazovaa shingoni ndio hapo hapo virus wanakaa waache wataelewa tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tofauti iliyopo ni kwamba hao madaktari na Chadema wanakuzidi uelewa.
 
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema

"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."

Tunawasubiri wakatikise Mageti ya Magereza. Karantini yao itakuwa huko ili Mabeberu wawalilie vizuri!!
 
Back
Top Bottom