Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Ukiweza kutofautisha chattle na magogon itakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe nilikua cjui sema tufuate ushaur wa wataalam kama wanavoelekeza kusudi tuwe salama sizan kama tukipuuzia maelekezo ya wataalam tukabase kwenye kujifukiza tutafika..... Changes begina with youNa hata Watu Wawili ambao ndiyo Vinara wa Kuwashawishi Watanzania Wajifukizie Kihistoria inasemekana ni Washirikina sana.
Misukule inajua nini inajua kukataa tu imeshatolewa ufahamu haijielewiNi Scientific Research gani ilifanyika na ikathibitishwa na WHO kama Kujifukiza inasaidia sana Kujikinga na COVID-19 Ndugu?
.mbn Rais yupo chato
Hotuba nzuri sana kaongea kweli tupu naweza sema kawaumbua chadema kwa uongo wao MUNGU mbariki mwiguluKweli kabisa.
Makamanda uchwaraMakamanda wapo uvunguni
Makengenza ni maumbile,aliumwa hivyo. Wewe utafurahi ukiambiwa mamako ni mlemavu sababu tu amekeketwa!?Cheki ule uso ulivyomshuka DJ makengeza
Mamako mbona amekeketwa na hatuongeiCheki ule uso ulivyomshuka DJ makengeza
Tunawasubiri wakatikise Mageti ya Magereza. Karantini yao itakuwa huko ili Mabeberu wawalilie vizuri!!Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
Kwani wewe Mbowe ni mama yako? Macho kumchuziMamako mbona amekeketwa na hatuongei