Wabunge wa CHADEMA wamekengeuka, wanajifanya hawaoni kazi nzuri ya uletaji maendeleo ndani ya miaka minne

siku zote wapinzani ndivyo walivyo KUPINGA ndo kunawafanya wale na maisha yanasonga siku zote hawawezi kuona mazuri ya chama tawala WATAPINGA TU
 
Action Speak Louder bila hoja!?!? Kanisa ni sawa kwani hakuna maswali unachosmbiwa na padri unakipokea kilivyo hata akidanganya ni sawa tu, humu JF of GT tunaishi kwa kusema hoja mezani.
 
I
Inakopa China sembuse Tz. Kwani hao waliobeza hujasikia walichosema? Wanasema ni kama kazi ndogo ati sababu kuna kata nyingi Tz. Sasa hiyo ni akili au matope. Tangu tupate uhuru kulikuwa na vituo vingapi vya afya kabla ya 2015?

Acha kukopa China, hata US wanakopa, je umesikia wanalazimisha wananchi wao kusifia hiyo mikopo?

Kumbe wamebeza kwa kusema kuwa hospitali ni chache kulingana na idadi ya kata. Huo ndio maana ya upinzani, ulitaka wasifie hilo ni jukumu lao? Kazi ya wapinzani wa kweli ni kuikosoa na kuibeza serikali iliyopo madarakani, ili isilale kwa kubweteka, na bado ikilala inaitoa madarakani. Inaonekana ww ni mzee aliyethirika na siasa za ujamaa za chama kimoja, hivyo unapokutana na siasa za kweli za ushindani, unaanza kujiliza kama mwanamke aliyekimbiwa na mumewe. Kutokuwepo kwa idadi hiyo ya vituo vya afya kabla ya uhuru, hiyo sio tiketi ya kusifiwa na wapinzani. Ilitakiwa viwe vituo vingi zaidi ya hivyo, hivyo wapinzani wanawashangaa nyie kuamka mkiwa mmechelewa na kuona ni bonge ya mafanikio. Mnataka msifiwe kwa mambo ya kawaida sana kwakuwa nyie ni malimbukeni wa maendeleo. Ulimbukeni wenu isiwe tatizo kwa wenye uelewa wa mambo.
 
Wewe ni muelewa wa mambo?
 
Wewe ni muelewa wa mambo?

Unauliza au unapigia jibu mstari? Naona mada imekuzidi nguvu. Hiyo unayoona ni 6, kwa wengine ni 9 kutokana na eneo walilosimama. Usitake kulazimisha unachoamini ww kila mtu akiamini. Kama unatazama mambo kwa jicho la kipeasant tazama kimpango wako, lakini watu walishatoka huko, na wana mtazamo mwingine mkubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom