Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wafanyabiashara Soko la Karume wamekosa mtetezi, hakuna Diwani, Mbunge Wala kiaongozi wa kisiasa aliyefika kuzungumza nao kutokana na janga la moto.
Kibaya Soko lipo opposite na ofisi ya Mkuu wa Mkoa mdogo wangu Amos Makala, watu wamepoteza biashara zao Mkuu wa Mkoa hata kama jirani ajafika kutoa. Wameandamana kwenda kumuuliza kulikoni mwenzetu mbona hatukuoni,wamezuiwa means yeye RC ameona Hana sababu yakuwasikiliza.
Tunatambua wabunge wa DSM Hawa na wananchi lakini hata kufika kutoa pole imewashinda? Hii ni dharau Kwa wananchi, sidhani kama mnasubiri Waziri Mkuu au Mkuu wa nchi ndipo mwongozane naye.
Lakini hii Taarifa kwamba upo mpango wakuwaondoa wafanyabiashara eneo hilo nachelea kuipokea na kuiamini kwa sababu sioni kwanini wenye fedha wanataka wajasiriamali waondoke mjini? Kila sehemu potential wanaitaka hii nchi ni Yao? Wanasiasa mnapotea jitafakarini, maisha ya mshahara mkubwa, walinzi, AC na Kari yana Mwisho.
Nimeiona JK amefanya tamasha la Mwaka mpya nyumbani kwake, ameomba watu wakamtie joto na ashukuru wamemtii wakaenda. Angeisha vibaya huo uwanja wake ungebaki kutumiwa na wanyama tu. Binadamu tunalimbiza Mali Kwa kuwadharau wanyonge Badala yake hata makazi ya kifahari tuliyojenga hayana kazi . Waheshimu wanadamu wenzenu hata Kam mmeakikishiwa hakuna umuhimu wa kura, wakinungunika mtajuta