Wabunge wa Dar es Salaam mmeshindwa hata kwenda kuwapa pole wapiga kura wenu Soko la Karume? Wanasiasa mnapata wapi kiburi dhidi ya wananchi?

Wabunge wa Dar es Salaam mmeshindwa hata kwenda kuwapa pole wapiga kura wenu Soko la Karume? Wanasiasa mnapata wapi kiburi dhidi ya wananchi?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Wafanyabiashara Soko la Karume wamekosa mtetezi, hakuna Diwani, Mbunge Wala kiaongozi wa kisiasa aliyefika kuzungumza nao kutokana na janga la moto.

Kibaya Soko lipo opposite na ofisi ya Mkuu wa Mkoa mdogo wangu Amos Makala, watu wamepoteza biashara zao Mkuu wa Mkoa hata kama jirani ajafika kutoa. Wameandamana kwenda kumuuliza kulikoni mwenzetu mbona hatukuoni,wamezuiwa means yeye RC ameona Hana sababu yakuwasikiliza.

Tunatambua wabunge wa DSM Hawa na wananchi lakini hata kufika kutoa pole imewashinda? Hii ni dharau Kwa wananchi, sidhani kama mnasubiri Waziri Mkuu au Mkuu wa nchi ndipo mwongozane naye.

Lakini hii Taarifa kwamba upo mpango wakuwaondoa wafanyabiashara eneo hilo nachelea kuipokea na kuiamini kwa sababu sioni kwanini wenye fedha wanataka wajasiriamali waondoke mjini? Kila sehemu potential wanaitaka hii nchi ni Yao? Wanasiasa mnapotea jitafakarini, maisha ya mshahara mkubwa, walinzi, AC na Kari yana Mwisho.

Nimeiona JK amefanya tamasha la Mwaka mpya nyumbani kwake, ameomba watu wakamtie joto na ashukuru wamemtii wakaenda. Angeisha vibaya huo uwanja wake ungebaki kutumiwa na wanyama tu. Binadamu tunalimbiza Mali Kwa kuwadharau wanyonge Badala yake hata makazi ya kifahari tuliyojenga hayana kazi . Waheshimu wanadamu wenzenu hata Kam mmeakikishiwa hakuna umuhimu wa kura, wakinungunika mtajuta
 
Rafiki yangu Beatrice kwa mara ya kwanza umekuwa punguani kwa kuamini kuwa Tanzania ina Bunge.

Hawa unaowaita kuwa ni wabunge hawakutokana na wananchi bali walitokana na ule uchafuzi wa october 2020 ambao CCM wanauita kuwa ni uchaguzi mkuu.

Hawa unaowaita kuwa ni wabunge wanamtumikia aliewapa ubunge ambae ni serikali.Wewe unataka wawatumikie wananchi ambao hawajawapa ubunge? Hawawezi kutumikia mtu ambae hajawapa Ubunge.
 
Rafiki yangu Beatrice kwa mara ya kwanza umekuwa punguani kwa kuamini kuwa Tanzania ina Bunge.

Hawa unaowaita kuwa ni wabunge hawakutokana na wananchi bali walitokana na ule uchafuzi wa october 2020 ambao CCM wanauita kuwa ni uchaguzi mkuu...
Lengo kuu la kuwapata ilikuwa kufanikisha atake asitake.
 
Muwe mnatuliza makalio yani hata majivu hayajapoa mshakurupuka na upuuzi mwingi kama huu.
 
Waende machinga complex ndio walistahili kwenda siku nyingi sana hapo karume walikuwa wanafanya uchafuzi tu na hawana haki wala chao pale...
 
Wapo busy kula kwa urefu wa kamba zao kabla mda wa malisho haujaisha, wenyenchi tumebaki kuwa wananchi tu! Tunapiga miayo
 
Wafanyabiashara Soko la Karume wamekosa mtetezi, hakuna Diwani, Mbunge Wala kiaongozi wa kisiasa aliyefika kuzungumza nao kutokana na janga la moto.

Kibaya Soko lipo opposite na ofisi ya Mkuu wa Mkoa mdogo wangu Amos Makala, watu wamepoteza biashara zao Mkuu wa Mkoa hata kama jirani ajafika kutoa. Wameandamana kwenda kumuuliza kulikoni mwenzetu mbona hatukuoni,wamezuiwa means yeye RC ameona Hana sababu yakuwasikiliza.

Tunatambua wabunge wa DSM Hawa na wananchi lakini hata kufika kutoa pole imewashinda? Hii ni dharau Kwa wananchi, sidhani kama mnasubiri Waziri Mkuu au Mkuu wa nchi ndipo mwongozane naye.

Lakini hii Taarifa kwamba upo mpango wakuwaondoa wafanyabiashara eneo hilo nachelea kuipokea na kuiamini kwa sababu sioni kwanini wenye fedha wanataka wajasiriamali waondoke mjini?Kila sehemu potential wanaitaka hii nchi ni Yao? Wanasiasa mnapotea jitafakarini, maisha ya mshahara mkubwa, walinzi, AC na Kari yana Mwisho.

Nimeiona JK amefanya tamasha la Mwaka mpya nyumbani kwake, ameomba watu wakamtie joto na ashukuru wamemtii wakaenda. Angeisha vibaya huo uwanja wake ungebaki kutumiwa na wanyama TU. Binadamu tunalimbiza Mali Kwa kuwadharau wanyonge Badala yake hata makazi ya kifahari tuliyojenga hayana kazi . Waheshimu wanadamu wenzenu hata Kam mmeakikishiwa hakuna umuhimu wa kura, wakinungunika mtajuta
Wabunge wachumia tumbo.
 
Mim napendekeza tuache kujipendekeza kwa wanasiasa wawe wanajichagua wao,kipindi cha uchaguz tusijitokeze kuwashangilia hata kuwasikiliza
 
Back
Top Bottom