Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Huduma hazitakiwi kufuatwa, huduma zinatakiwa zipelekwe walipo watu.

Ndio maana huwa mna chuki na wachaga wenzenu wilaya zao zote wanajitoshereza mpaka vijijini unskunywa maji ya bomba na wana umeme na lami na hawajawahi kutowa Rais Mchaga.
Kwaahio chato na na biharamulo haziwezi kupata umeme vijijini kama Kilimanjaro mpaka ziwe mkoa au hio geita ilivyokuwa mkoa ndio imepata umeme maji na huduma zote vijijini
 
Kichwa cha habari kisomeke hivi, Wabunge wa kihaya huko bukoba wapinga mkoa wa kagera kumegwa wilaya Za Ngara na Biharamulo Ili kuunda mkoa mpya wa Chato.

Hii italeta mantiki, kwa wanao megwa wao hawana shida Ila hao wahaya wanawashwa na pilipili isio wahusu period.
 
Wala sio wabunge wa kihaya maana sijaona mbunge wa Bukoba manispaa, misenyi, Karagwe na kyerwa. Hao ni wahuni wachache huenda wana maslahi na hizo wilaya zikiwa Kagera
 
Samahani, Mkuu!
Kuna kabila au jamii inaitwa WAZOYA hapa Tanzania?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sihivyo tu hata iliyotengenezwa na majirani kuikalabati ilikuwa mtihani
 
Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka, amesema wilaya ya Chato haina sifa za kuwa mkoa kama watu wa Wilaya hiyo wanavyosema.

Profesa Tibaijuka amesema kati ya mambo yanayooneshwa kwamba Chato haina sifa, ni kwamba haiwezi kuwa mkoa mpaka imege vipande vya mkoa wa Kagera.

Amesema wao hawataki kumegwa.

Ni maoni yako: Je Chato inastahili kuwa mkoa?

 
Kawe kenyewe kama kenyewe mbona Dar na Kim ni mikoa modogo kijigrafia nawe pia wawe hivo, wasitegemee kupata mapato kutoka Wilaya za karibu ztakazomegwa.

Ukitaka kutoka nyumban kwenda kujitegemea na nyumbani hujafukuzwa USIOMBE nauli ya kuondokea
 
Watake wasitake Kagera itakatwa na kumegwa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…