Kwaahio chato na na biharamulo haziwezi kupata umeme vijijini kama Kilimanjaro mpaka ziwe mkoa au hio geita ilivyokuwa mkoa ndio imepata umeme maji na huduma zote vijijiniHuduma hazitakiwi kufuatwa, huduma zinatakiwa zipelekwe walipo watu.
Ndio maana huwa mna chuki na wachaga wenzenu wilaya zao zote wanajitoshereza mpaka vijijini unskunywa maji ya bomba na wana umeme na lami na hawajawahi kutowa Rais Mchaga.