Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
KWA KUWA SHIDA NI CHATO MJI HAUJAWA MKUBWA KUWA NA SIFA YA MAKAO MAKUU YA MOA BASI WAYAWEKE MAKAO MAKUU HAYO WIALAYA YA BIHARAMULO NA UITWE MKOA WA BIRAMULO,, UKIWA NA WILAYA ZA NGARA, CHATO NA BIAHRAMULO YENYEWE NA RUNZEWEChato haina kigezo cha kuwa Mkoa. Tusilazimishe mambo.
Haya maneno ama ushauri, kwanini hawakuyasema mwaka jana, maana hoja hii si mpya!Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka, amesema wilaya ya Chato haina sifa za kuwa mkoa kama watu wa Wilaya hiyo wanavyosema.
Profesa Tibaijuka amesema kati ya mambo yanayooneshwa kwamba Chato haina sifa, ni kwamba haiwezi kuwa mkoa mpaka imege vipande vya mkoa wa Kagera.
Amesema wao hawataki kumegwa.
Ni maoni yako: Je Chato inastahili kuwa mkoa?
View attachment 2023349
Kuzaa, au kutozaa, hakuhusiani, wala hakufanani, na mada yenyewe.Mama anaogopa kumegwa kwani hajawahi kuzaa!
Magufuli alikua tatizo kubwa kwenye hii nchi.
Alikuwa Tatizo kwa vibakaMagufuli alikua tatizo kubwa kwenye hii nchi.
Duh! Msifike huko jamani!!!Kama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera. Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi!...
Wewe ndiyo una ukabisa sasa kwani mkoa wa Chato watakaa wasukuma tu? Mbona Chato kuna Wasubi, Wakara, Wasukuma, wahaya, wanyambo, wahangaza nk. Acha ukabila wewe kwa hiyo huko Kagera mnataka mkae Wahaya tu au? Haya kaeni pekee yenu na ndiyo maana Kagera inaendelea kubaki nyuma kwa sababu ya watu kama nyinyi.Kama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera. Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi!!! Alianza zamani kufanya hujuma zake akapewa wilaya ya Chato iliyomegwa kutoka Kagera na sasa wanataka wamege wilaya zingine eti wapate hadhi ya mkoa!!
Tutawaadabisha wote watakaojichanganya, tuko tayari kwa lolote, ukabila mmeuanzisha nasi tutamalizia liwalo na liwe.
Alikuwa tatizo kwa utopolo kama wewe!Magufuli alikua tatizo kubwa kwenye hii nchi.