Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Naoni yangu ni :-
Kura zipigwe za Ndio/Hapana na wengi wapewe
Haiwezekani kila kitu kinapitishwa tu kwa upendo wa mtu mmoja
Nchi ya watu hii na wapewe haki ya maamuzi pia