Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Huduma hazitakiwi kufuatwa, huduma zinatakiwa zipelekwe walipo watu.

Ndio maana huwa mna chuki na wachaga wenzenu wilaya zao zote wanajitoshereza mpaka vijijini unskunywa maji ya bomba na wana umeme na lami na hawajawahi kutowa Rais Mchaga.
Umefiika huko same mlimani ? Hata huko Siha kwenye magadi ? Umefika huko Machame. Uliiona migomba ya machame ? Mashina yake kama mguu wa mbuzi. Kilimanjaro hakuna utajiri wowote ni michosho tu
 
Inaongelewa Kagera, ww unaleta uchaga, mna shida gani, Kwanza nyinyi ndiyo mnawachukia wahaya. Niliwahi kufanya interview sehemu fulani, Manager ni mchaga wa Rombo, siku nalipoti kazini, akaniita ofisini kwake akasema nenda kabila lako likuajiri.
Hilo kabila la wachagga ni hovyo sana
 
Umefiika huko same mlimani ? Hata huko Siha kwenye magadi ? Umefika huko Machame. Uliiona migomba ya machame ? Mashina yake kama mguu wa mbuzi. Kilimanjaro hakuna utajiri wowote ni michosho tu
Punguza chuki zako wewe sukuma gang.
Tunafurahia sana chato kukosa nafasi ya kuwa mkoa
 
Geita hadi Runzewe mbona lami ipo ?
 
Kwani hii Katiba siyo bora ?
 
Chato hamna sifa ya kuwa mkoa na haitatokea kwenye kizazi hiki.

Jiwe alitaka kufuja fedha za watanzania na Mungu hakutaka hilo.
Wewe ni nani mpaka ujiapize hivyo ? Nani aliyekuambia kwamba mimi ni wa Chato ? Wewe mbona toporo sana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…