Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Huduma hazitakiwi kufuatwa, huduma zinatakiwa zipelekwe walipo watu.

Ndio maana huwa mna chuki na wachaga wenzenu wilaya zao zote wanajitoshereza mpaka vijijini unskunywa maji ya bomba na wana umeme na lami na hawajawahi kutowa Rais Mchaga.
Umefiika huko same mlimani ? Hata huko Siha kwenye magadi ? Umefika huko Machame. Uliiona migomba ya machame ? Mashina yake kama mguu wa mbuzi. Kilimanjaro hakuna utajiri wowote ni michosho tu
 
Inaongelewa Kagera, ww unaleta uchaga, mna shida gani, Kwanza nyinyi ndiyo mnawachukia wahaya. Niliwahi kufanya interview sehemu fulani, Manager ni mchaga wa Rombo, siku nalipoti kazini, akaniita ofisini kwake akasema nenda kabila lako likuajiri.
Hilo kabila la wachagga ni hovyo sana
 
Umefiika huko same mlimani ? Hata huko Siha kwenye magadi ? Umefika huko Machame. Uliiona migomba ya machame ? Mashina yake kama mguu wa mbuzi. Kilimanjaro hakuna utajiri wowote ni michosho tu
Punguza chuki zako wewe sukuma gang.
Tunafurahia sana chato kukosa nafasi ya kuwa mkoa
 
Yaan nimeshangaa hata mm....ukitembelea hayo maeneo utaelewa kwann chato iwe tu mkoa.....nauli ya kutoka bukoba mjini mpaka ngara ni 22,000elfu...biharamulo ni pori kabisa plus kakongo ,kibondo na runzewe ,rusahunga hakuna maendeleo kabisa ni hekari nyingi kiasi kwamba majambazi huteka mabasi huko na hakuna usalama wa kutosha.....

Wakiweka mkoa hata barabara ya geita runzewe, nyakanazi ,kibondo ,kakonko ,kasulu hadi kigoma itajengwa kwa lami...sasa hizi porojo za nshomile hizi zimejaa hujuma tu
Geita hadi Runzewe mbona lami ipo ?
 
Katiba katiba katiba!



Mkiambiwa juu ya umuhimu wa kudai Katiba bora, mnaanza kukimbizana na marungu kuwaangamiza CHADEMA. Haya sasa, muombolezaji Bigambo anaelekea kufanikisha matakwa yake! Kwa hiyo, Wabunge wa Mkoa wa Kagera kubalini matokeo, Bigambo kisha wapiga dole tayari!
Kwani hii Katiba siyo bora ?
 
Chato hamna sifa ya kuwa mkoa na haitatokea kwenye kizazi hiki.

Jiwe alitaka kufuja fedha za watanzania na Mungu hakutaka hilo.
Wewe ni nani mpaka ujiapize hivyo ? Nani aliyekuambia kwamba mimi ni wa Chato ? Wewe mbona toporo sana ?
 
Back
Top Bottom