Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Leo rafiki yangu umenena ukweli mtupu
 
Bigambo siyo mhaya ni mjita
 
Wahaya ni wakabila sana .. sasa wanapinga nini wakali ardhi ni mali ya serikali
 
Ni wakabila, yani hawataki changamana na watu wengine..
 
Hacha ukabila wewe, nchi ni ya watu wote hii, mbona hamuwasemi wale waliodai kabila lao lipewe Uhuru wajitiwale. Kwanza Nyerere ndiyo aliturudisha nyuma mpaka leo na kufanya serikali ipasusie kwa kujifanya Mungu mtu wa nchi hii.
 
Ni wakabila, yani hawataki changamana na watu wengine..
Wakabila kivipi, hacha kupotosha watu, makabila mangapi yamejaa kagera. Hawa wanaopinga mkoa usimegwe bado wanatetea hayo makabila yabaki kwa wahaya, hapo ukabila unatoka wapi.
 
Mbona Geita Runzewe hadi Nyakanazi barabara ni ya lami ?
 
Wahaya wana ubaguzi sana, na wanataka hizo wilaya waendelee kuzinyonya tu. Ukienda pale mkoani kama huongei kihaya huduma utazisikia tu.

Ni kweli chato haina sifa, inapewa kwa upendeleo tu lakini ngoja wahaya wabaki huko kagera wenyewe ndio tutajua kuna wazoya na waziba na wanyambo na…

Pia kama chato inafanywa mkoa bado makao makuu ya mkoa hayawezi kuwa pembeni ya mkoa, tena karibu tu na mkoa mwingine wa Geita. Makao makuu ya mkoa wangeyapeleka biharamlo au hata rusahunga au nyakanazi
 
Kuongea lugha yao ndiyo ukabila, wewe kwenye kabila lako hamuongei lugha yenu ndugu, wahaya wanawanyonya? Kivipi, acheni kupandikiza chuki za kikabila, ukienda kila mkoa Tanzania kuna makabila zaidi ya mawili, Ila wenyewe sio wakabila yaani wahaya wenye hayo makabila kwenu nyinyi ndiyo wenye ukabila Tanzania.
 
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa?? You are not serious.

Mungu ametuepushia hiyo DHAHMA kwa kuchukua roho ya mtu MWONGO, mwizi na katili na mbinafsi ili tujipange vizuri, kama tutaupa Chato hadhi ya mkoa itakuwa ni KUFURU kwa Mungu wetu.

Ile Chato ni ya kubaki hivyo hivyo kama GBADOLITE ya Mobutu Seseseko, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tukiwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131
 
Kutoka Ngara mpaka Bukoba ni kilomita 320, kutoka Ngara mpaka Chato hazifiki kilomita 70. Hao wabunge wanaongozwa na historia ya miaka na miaka hawaongozwi na mahitaji ya kijiografia, hawatazami watu wa sasa wa Ngara wanataka nini cha maendeleo.
 
Lakini ndiyo ukweli huo, yaani kilio cha mtu msibani kinageukaje kuwa kigezo? Vigezo kwa mujibu wa andiko lao kama vingefuatwa mikoa ya kugawanywa ni miwili tuu Tabora na Morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…