Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Utalia sana wewe sukuma gangWewe ni nani mpaka ujiapize hivyo ? Nani aliyekuambia kwamba mimi ni wa Chato ? Wewe mbona toporo sana ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalia sana wewe sukuma gangWewe ni nani mpaka ujiapize hivyo ? Nani aliyekuambia kwamba mimi ni wa Chato ? Wewe mbona toporo sana ?
Utaimba katiba mpaka utazeeka na hata ikipitishwa mpya bado nyie ni wa kuongozwa tu. Watanzania walishaapa hawaongozwi na watu wenye meno ya rangi kama kashata.HUTAKI SAWA UNATAKA SAWA
Na hapo bado hadi mrudi kwenu NyabiyonzaPole sana. Jinga wewe. Unaleta uchagga hapa nani atakusikiliza ? Kuna mibaguzi nchi hii kama chaggas ?
Kwanza Tabora ilishachangia kwa wilaya yake ya Mpanda kuunda mkoa Rukwa mwaka 1974, au ulikuwa hujazaliwa ?Kwahiyo chato ni tajiri?
Kwishneyyyy babujeeeeeWewe ni nani mpaka ujiapize hivyo ? Nani aliyekuambia kwamba mimi ni wa Chato ? Wewe mbona toporo sana ?
Ndio maana ninakuona kama zwazwa tu. Nani aliyekudanya kwamba ni wa Chato.Na hapo bado hadi mrudi kwenu Nyabiyonza
Hainuhusu nasema hivi big no kwa chato kuwa mkoa hutaki meza viwembeKwanza Tabora ilishachangia kwa wilaya yake ya Mpanda kuunda mkoa Rukwa mwaka 1974, au ulikuwa hujazaliwa ?
Utajua wewe zumbukukuNdio maana ninakuona kama zwazwa tu. Nani aliyekudanya kwamba ni wa Chato.
Utajaza mwenyewe hainuhusu hiyoNdio maana ninakuona kama zwazwa tu. Nani aliyekudanya kwamba ni wa Chato.
Utajijua na na cheti chako fakeHainuhusu nasema hivi big no kwa chato kuwa mkoa hutaki meza viwembe
Utaishi sana burigiUtajijua na na cheti chako fake
Iwe mkoa ina mapato gani? Crdb bank wenyewe waligoma kuweka bank pale kwakuwa hakuna pesa Hadi mwendazake aka forceHilo ndio tatizo. Hakuna namna njia pekee ni Mkuu wa nchi kuidhisha ili Chato iwe mkoa
Unasumbuliwa na chuki tuUmefiika huko same mlimani ? Hata huko Siha kwenye magadi ? Umefika huko Machame. Uliiona migomba ya machame ? Mashina yake kama mguu wa mbuzi. Kilimanjaro hakuna utajiri wowote ni michosho tu
Hovyo ni nyie wapanda fisiHilo kabila la wachagga ni hovyo sana
Wewe akili Yako inakutosha kupanda fisi tuBora mrundi kuliko mchagga
Mwendazake alikuwa anatekeleza anacho amua kama yeye tu na hilo limetufikisha pabaya kama taifa.Iwe mkoa ina mapato gani? Crdb bank wenyewe waligoma kuweka bank pale kwakuwa hakuna pesa Hadi mwendazake aka force
Na kuishi burigi akisubiri mjomba wake arudi siku ya 3000Wewe akili Yako inakutosha kupanda fisi tu
Nakushukuru kwa kumpàsha huyo zumbukukuUnasumbuliwa na chuki tu
Kilimanjaro MTU Hana haja ya kwenda mjini huduma zote anazikuta hukohuko
Kilimanjaro majumba kama mahekalu ya Amsterdam apana chezea
Kilimanjaro watoto hawatembei km 10 kwenda shulen
Kilimanjaro kina mama hawafi kwa kutembea umbali kufuata zahanati,zipo Kila eneo na kuzidi
Na kahama pia ilitoka tabora mwaka 1963 ika ungana na shy pamoja na maswa kuunda mkoa wa shinyanga.Kwanza Tabora ilishachangia kwa wilaya yake ya Mpanda kuunda mkoa Rukwa mwaka 1974, au ulikuwa hujazaliwa ?
Hebu Angalia mkoa wao huyu sukuma gang nizakale ulivyo na utapiamlo kwa watoto,Yan watu wanaoshindwa Hadi kulisha watoto ndo wapambane na Sisi?[emoji3][emoji3][emoji3]Nakushukuru kwa kumpàsha huyo zumbukuku