luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
[emoji3][emoji3][emoji3]Na kuishi burigi akisubiri mjomba wake arudi siku ya 3000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Na kuishi burigi akisubiri mjomba wake arudi siku ya 3000
NaamMwendazake alikuwa anatekeleza anacho amua kama yeye tu na hilo limetufikisha pabaya kama taifa.
Cheti feki mnavyo nyie wapanda fisiUtajijua na na cheti chako fake
Nyie mliowahi kuongoza mbona Hali mbaya? Hadi watoto wanapata udumavu means umaskini ni mkubwaUtaimba katiba mpaka utazeeka na hata ikipitishwa mpya bado nyie ni wa kuongozwa tu. Watanzania walishaapa hawaongozwi na watu wenye meno ya rangi kama kashata.
Walikubagua? Au ulitelekezwa na bwana mchaga nini? Maana wewe 24/7 days usipotaja wachaga Siku haliishi vizuriPole sana. Jinga wewe. Unaleta uchagga hapa nani atakusikiliza ? Kuna mibaguzi nchi hii kama chaggas ?
Geita runzewe imejengwa juzi Sisi kule Kilimanjaro level hiyo ya barabara za wilaya vs wilaya tulishavuka huko tangu miaka ya 90Geita hadi Runzewe mbona lami ipo ?
Wewe ni bongolala kabisa,hujui kuwa dar inalishwa ndizi 90% za kutoka Kilimanjaro ?Punguza chuki zako wewe sukuma gang.
Tunafurahia sana chato kukosa nafasi ya kuwa mkoa
Nenda kwenye halmashauri za mkoa wa Kilimanjaro ukajue ukweli. Mna matatizo mengi tu kama Watanzania wengi na mna upungufu wa fedha kwenye halmashauri zenu.Unasumbuliwa na chuki tu
Kilimanjaro MTU Hana haja ya kwenda mjini huduma zote anazikuta hukohuko
Kilimanjaro majumba kama mahekalu ya Amsterdam apana chezea
Kilimanjaro watoto hawatembei km 10 kwenda shulen
Kilimanjaro kina mama hawafi kwa kutembea umbali kufuata zahanati,zipo Kila eneo na kuzidi
Tunazungumzia level ya individual mwananchi mmoja mmojaNenda kwenye halmashauri za mkoa wa Kilimanjaro ukajue ukweli. Mna matatizo mengi tu kama Watanzania wengi na mna upungufu wa fedha kwenye halmashauri zenu.
Almost kila kabila lina individuals wako vizuri.Tunazungumzia level ya individual mwananchi mmoja mmoja
Hâta marekan,uchina matatizo yapo
Argue hizo hoja nilizoweka
100%Geita runzewe imejengwa juzi Sisi kule Kilimanjaro level hiyo ya barabara za wilaya vs wilaya tulishavuka huko tangu miaka ya 90
Sahiv ni vijiji vs vijiji lami
Ni Kweli Ila kwa Kilimanjaro kwa wastani Kila mwananchi Ana kipato cha kati(kwa wastani) ndio maana NBS wakasema Kilimanjaro ni mkoa WA pili Baada ya dar kwa wananchi wake kuw na individual per capital income kubwa regards Kila jamii kuwa na watu wenye vipato vikubwa,hizo jamii nyingine uwiano WA wenye kipato vs wasio na kipato ni mdogo sanaAlmost kila kabila lina individuals wako vizuri.
Hakika tumejaaliwa na mwenyezi Mungu sema tu wenzetu wamasaai ( baadhi ) wasiyopenda kubadilika ndiyo wanatukwamishaNi Kweli Ila kwa Kilimanjaro kwa wastani Kila mwananchi Ana kipato cha kati(kwa wastani) ndio maana NBS wakasema Kilimanjaro ni mkoa WA pili Baada ya dar kwa wananchi wake kuw na individual per capital income kubwa regards Kila jamii kuwa na watu wenye vipato vikubwa,hizo jamii nyingine uwiano WA wenye kipato vs wasio na kipato ni mdogo sana
Sasa mbona halmashauri zenu zipo hoi kifedha kama za wilaya nyingine?Ni Kweli Ila kwa Kilimanjaro kwa wastani Kila mwananchi Ana kipato cha kati(kwa wastani) ndio maana NBS wakasema Kilimanjaro ni mkoa WA pili Baada ya dar kwa wananchi wake kuw na individual per capital income kubwa regards Kila jamii kuwa na watu wenye vipato vikubwa,hizo jamii nyingine uwiano WA wenye kipato vs wasio na kipato ni mdogo sana
Halmashauri na mwananchi mmoja mmoja WApi na WApi? Halmashauri kuwa na upungufu WA fedha inatokana na mambo mengi,ufusadi,matumizi makubwa kwa mambo ya hovyo,kutokubuni vyanzo zaidi vya mapato etcSasa mbona halmashauri zenu zipo hoi kifedha kama za wilaya nyingine?
Kumbuka maendeleo huletwa na local government siyo mtu mmoja mmoja.Halmashauri na mwananchi mmoja mmoja WApi na WApi? Halmashauri kuwa na upungufu WA fedha inatokana na mambo mengi,ufusadi,matumizi makubwa kwa mambo ya hovyo,kutokubuni vyanzo zaidi vya mapato etc
Wewe hushangai nchi ya TZ Licha ya utajiri WA rasilimali ilizo nazo lakin baado ni maskini inakopakopa? Sembuse halmashauri ?
Ccm imelidumaza taifa kwa kuwatia umasikini mkubwaHalmashauri na mwananchi mmoja mmoja WApi na WApi? Halmashauri kuwa na upungufu WA fedha inatokana na mambo mengi,ufusadi,matumizi makubwa kwa mambo ya hovyo,kutokubuni vyanzo zaidi vya mapato etc
Wewe hushangai nchi ya TZ Licha ya utajiri WA rasilimali ilizo nazo lakin baado ni maskini inakopakopa? Sembuse halmashauri ?
All in all Kilimanjaro ni mkoa WA 6 kuchangia GDPKumbuka maendeleo huletwa na local government siyo mtu mmoja mmoja.
Alafu anatokea mjinga mmoja anaulinganisha Kilimanjaro na chatoAll in all Kilimanjaro ni mkoa WA 6 kuchangia GDP