Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Utaimba katiba mpaka utazeeka na hata ikipitishwa mpya bado nyie ni wa kuongozwa tu. Watanzania walishaapa hawaongozwi na watu wenye meno ya rangi kama kashata.
Nyie mliowahi kuongoza mbona Hali mbaya? Hadi watoto wanapata udumavu means umaskini ni mkubwa
Badala ya kuwaza maendleo unawaza kuongoza,uongoze umaskini? Huna akili ewe mpanda fisi
1676389990311.jpg
 
Pole sana. Jinga wewe. Unaleta uchagga hapa nani atakusikiliza ? Kuna mibaguzi nchi hii kama chaggas ?
Walikubagua? Au ulitelekezwa na bwana mchaga nini? Maana wewe 24/7 days usipotaja wachaga Siku haliishi vizuri
Ukiona unamjadili MTU ujue unamkubali
 
Punguza chuki zako wewe sukuma gang.
Tunafurahia sana chato kukosa nafasi ya kuwa mkoa
Wewe ni bongolala kabisa,hujui kuwa dar inalishwa ndizi 90% za kutoka Kilimanjaro ?
Nairobi parachichi 100% zinatoka Kilimanjaro, Kilimanjaro ni mkulima hodar WA ndizi na parachichi acha povu
2: Kilimanjaro hakuna udumavu WA watoto kama huko kwenu usukumani nenden mkalishe watoto kwanza ndio mbishane na ma don, FANKULO MADONA
1676389990311.jpg
 
Unasumbuliwa na chuki tu
Kilimanjaro MTU Hana haja ya kwenda mjini huduma zote anazikuta hukohuko
Kilimanjaro majumba kama mahekalu ya Amsterdam apana chezea
Kilimanjaro watoto hawatembei km 10 kwenda shulen
Kilimanjaro kina mama hawafi kwa kutembea umbali kufuata zahanati,zipo Kila eneo na kuzidi
Nenda kwenye halmashauri za mkoa wa Kilimanjaro ukajue ukweli. Mna matatizo mengi tu kama Watanzania wengi na mna upungufu wa fedha kwenye halmashauri zenu.
 
Tunazungumzia level ya individual mwananchi mmoja mmoja
Hâta marekan,uchina matatizo yapo
Argue hizo hoja nilizoweka
 
Almost kila kabila lina individuals wako vizuri.
Ni Kweli Ila kwa Kilimanjaro kwa wastani Kila mwananchi Ana kipato cha kati(kwa wastani) ndio maana NBS wakasema Kilimanjaro ni mkoa WA pili Baada ya dar kwa wananchi wake kuw na individual per capital income kubwa regards Kila jamii kuwa na watu wenye vipato vikubwa,hizo jamii nyingine uwiano WA wenye kipato vs wasio na kipato ni mdogo sana
 
Hakika tumejaaliwa na mwenyezi Mungu sema tu wenzetu wamasaai ( baadhi ) wasiyopenda kubadilika ndiyo wanatukwamisha
 
Ni Kweli Ila kwa Kilimanjaro kwa wastani Kila mwananchi Ana kipato cha kati(kwa wastani) ndio maana NBS wakasema Kilimanjaro ni mkoa WA pili Baada ya dar kwa wananchi wake kuw na individual per capital income kubwa regards Kila jamii kuwa na watu wenye vipato vikubwa,hizo jamii nyingine uwiano WA wenye kipato vs wasio na kipato ni mdogo sana
Sasa mbona halmashauri zenu zipo hoi kifedha kama za wilaya nyingine?
 
Halmashauri na mwananchi mmoja mmoja WApi na WApi? Halmashauri kuwa na upungufu WA fedha inatokana na mambo mengi,ufusadi,matumizi makubwa kwa mambo ya hovyo,kutokubuni vyanzo zaidi vya mapato etc
Wewe hushangai nchi ya TZ Licha ya utajiri WA rasilimali ilizo nazo lakin baado ni maskini inakopakopa? Sembuse halmashauri ?
 
Kumbuka maendeleo huletwa na local government siyo mtu mmoja mmoja.
 
Halmashauri na mwananchi mmoja mmoja WApi na WApi? Halmashauri kuwa na upungufu WA fedha inatokana na mambo mengi,ufusadi,matumizi makubwa kwa mambo ya hovyo,kutokubuni vyanzo zaidi vya mapato etc
Wewe hushangai nchi ya TZ Licha ya utajiri WA rasilimali ilizo nazo lakin baado ni maskini inakopakopa? Sembuse halmashauri ?
Ccm imelidumaza taifa kwa kuwatia umasikini mkubwa
 
Back
Top Bottom