converterr
JF-Expert Member
- Jan 28, 2023
- 294
- 593
Sasa hapa mbona almost wabunge woteTunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe Jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.
Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Mhe. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.
Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili badae tuje na orodha yao.
Wa Vunjo yule Dr Kimei?Yule wa CRDB
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe Jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.
Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Mhe. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.
Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili badae tuje na orodha yao.
Sema hawa wabunge ambao wanakuwa mawaziri ni shida sana wanajisahau sanaDr. Ndumbaro jimbo la Songea mjini hawa ni mamluki tu wanagombea sehem watu hawaeajui na hawapendwi.
Ameshafanya nini cha maana? Hamna.
Hata yule mama Jenista Mhagama mda umefika wastaafu sasa inatosha kuachia wengine.
Mpo Songea miaka nenda miaka rudi hakuna maendeleo yoyote Makambako to Songea barabara iko hovyo na ni ndogo sana halafu ajali nyingi zinatokea kule kupita Njombe yote, Lilondo, Kifanya hii barabara toka alipopewa zawadi Mwalimu Nyerere na malkia Elizabeth ikajengwa hadi leo iko vilevile mnasubira aje tena mkoloni kuirekebisha na kuiboresha? Kweli?
Wabunge wa majimbo ya mkoa wa Ruvuma mnafanya nin?
Nani huyoMimi Mbunge wangu tangu aingie mjengoni sijawahi kumsikia hata kwa bahati mbaya akishusha hoja za kututetea sisi wapiga kura wake na Watanzania kwa ujumla.
Utakuta wenzie wanawatetea Wananchi wao kwa nguvu zote lakini yeye yupo kimya tu.
Hata sisi tunatamani 2025 ifike haraka.
Billa shaka utakuwa unatokea tengeruu au maji ya chai[emoji23]John D.
Arumeru mashariki jamaa hajiwezi hata kufungua mdomo.
Aliongea day one wabunge walikufa na vicheko.
Jimboni mwake ndio kabisaa hovyo kabisa
Hajui kitu sijui anawazag nn kila kikao yumo ila hata kuchangia haweZi na Wala kuongea Kaz yao Ni kupiga [emoji1702]Babu tale,mwana fa...
Jimbo zima la morogoro Kweli walimuona babu tale kufaaa kuwa ongozaIla Babu taletale dah aibu huwa naona mpka mimi
NopBilla shaka utakuwa unatokea tengeruu au maji ya chai[emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Juma nkamia alikuwa rfk anguKondoa kule nimepita yaan mvua ikinyesha huingii mjin wala kutoka mnabaki ndan kama utumbo!! Yaan kujenga madaraja kondoa imekua ngumu kinyama. Miaka na miaka!!
Wanakua mzigo tu kwa raia.Sema hawa wabunge ambao wanakuwa mawaziri ni shida sana wanajisahau sana
Lkn wakaamua kupatelekeza kwao!!
Hao wanauza sura tu mjengoniBabu tale,mwana fa...
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.
Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.
Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili baadae tuje na orodha yao.