kabwe katal
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 264
- 289
Nadhani mabadiliko ya katiba yalilenga haya majina ili yasipenye kwenye mchujo.haingii akilini Janauary Makamba kutopita kwenye mchujo.isipokuwa ukiunganisha codes inaonekana Makamba na Byabato walipokuwa foreign affairs kuna rafu mbaya walimchezea Mama.muda utaongea.Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1.Mrisho Gambo-Arusha Mjini
2.Stephen Byabato-Bukoba Mjini
3.Luhanga Mpina-Kisesa
4.Ndaisaba Ruhoro-Ngara
5.Josephat Gwajima-Kawe (Hakuchukua fomu)
6.Yusuph Makamba-Bumbuli
7.Nicodemus Maganga-Mbogwe
8.Chritopher Ole Sendeka-Simanjiro
9.Pauline Gekuli-Babati Mjini
10:Angelina Mabula-Ilemela
11.Seif Gulamali-Manonga
12Justine Lazaro Nyamoga -Kilolo
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Watu wanafikiri utani aisee,acha wawekane ,wahangsike ila wengi hivyo viti hawatakaliaIlo liko wazi watatembea wengi
Ndio madhara ya kuwa na mfumo mbovu wa uchaguzi kila mtu anakuwa chawa wa Mwenyekiti ili apite.Makamba na naibu wake Byabato watakuwa walimfanyia kosa kubwa sana Rais Samia
Kbs nchi inaenda kuongozwa na watu wenye maono 👊Watu wanafikiri utani aisee,acha wawekane ,wahangsike ila wengi hivyo viti hawatakalia
Msiba si kawaida , kikubwa ubwabwa usikosekaneNarudia Tena subiri utaona mbona sio mbali
Na Kuna ambao tutazika kabla ya hizo election 😂
Binafsi naona ni Mbunge mzuri, sijui kwanini kakatwaAngelina mabura naye hajarudi
Ubwabwa tenaMsiba si kawaida , kikubwa ubwabwa usikosekane
Yaani bongo mna akili timamu, huyu anayefanya maigizo ya kufufua misukule hewani ndio aongoze nchi ya watu wenye akili timamu?Gwajima atakua rais soon ni swala la mda
1 Geoffrey Mwambe Masasi MjiniHawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo-Arusha Mjini
2. Stephen Byabato-Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina-Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro-Ngara
5. Josephat Gwajima-Kawe (Hakuchukua fomu)
6.Yusuph Makamba-Bumbuli
7. Nicodemus Maganga-Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka-Simanjiro
9. Pauline Gekuli-Babati Mjini
10. Angelina Mabula-Ilemela
11. Seif Gulamali-Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga -Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo-Musoma Mjini
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Uache kelele wewe, lini na wapi alichukua form? Huyo mtu tangu akichafue hajaonekana hadharanigwajima alichukua form tena kibabe,alienda na watu zaidi ya 30 kama walinzi wake.
Kuna speech aliitoa bungeni kuhusu Uchaguzi ukiisikia unajua kwanini katolewaHuyo wa mbogwe jamani aliwakosea nini
Mkuu tuombe uzima October sio mbaliYaani bongo mna akili timamu, huyu anayefanya maigizo ya kufufua misukule hewani ndio aongoze nchi ya watu wenye akili timamu?
Unaongelea Makonda yupi huyo? Utakuwa mgeni wa nchi hii wewe kwa CCMHicho kitu akipoo yeye na baba revo awatoboi
Acha uwongo... hakuchukuaNdio alichukua fomu, akajaza na kuirejesha.
Ok si kipindi kili.. nilijua ya leo mkuuTule aliyechapwa bakora na Job Ndugai akapoteza fahamu, tafuta hiyo clip
Alimwalika Luhaga Mpina mkutano wa hadhara jimboni kwake atukane Samia kwa kutumia platform ya jimbo lakeHuyo wa mbogwe jamani aliwakosea nini
Aliona zile video za kipindi cha jiweUache kelele wewe, lini na wapi alichukua form? Huyo mtu tangu akichafue hajaonekana hadharani
Ali Chukua formJanuary hakuchukua fomu