daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kwani CHADEMA kupeleka wabunge viti maalumu nyumbani kwako unalala njaa au hupati huduma ya ndoa?Kutokana na hali iliyojitokeza leo ya chadema kuunga mkono juhudi nami natangaza kuunga mkono juhudi kwa kuhamia ccm.
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze nimekuwa mdau mzuri wa harakati za kutafuta haki na maendeleo ya kweli kwa kushabikia upinzani.
Kitendo kilichofanywa na key leaders wa chama kutosikiliza kilio na maamuzi ya wanachama wao ni dhahiri kuwa chama cha chadema kimekufa rasmi.
Kuanzia leo sitoshabikia chadema ikiwa katika hali hii.
Kwaheri chadema !