Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

Wasaliti wao ni wananchi. Kuwanyima kura tayari tumewasaliti
 
Hakuna usaliti hapa, ni uelewa wako mdogo wa kutojua mbinu mbalimbali za kutafuta haki na maeneo ya kuendesha siasa. Bungeni ni eneo moja muhimu kupiga siasa otherwise utasahaulika.

Vita ya kisiasa inapigwa kila kona. Yaani ulitaka nafasi 19 za wabunge wa viti maalum za CDM zipotee hivi hivi seriously. Hapana. Katika mapambano kususa sio option inayokupa faida.
 
Halima, Esther na wenzenu.

Kwa hakika kumekuwa na maneno mengi juu yenu tuliyoyapuuza siku zote. Ilisemekana mtatusaliti kama ilivyosemeka kwa Yuda na hapa hatimaye yametimia...
Yawezekana chama dola kimepenyeza Rupia.. Mkate mgumu kwa chai hakunaga!
 
Hakuna usaliti, ni uelewa wako katika kutojua mbinu za kutafuta haki na kufuta nafasi za kupigia siasa. Bungeni ni eneo moja muhimu kupiga siasa otherwise utasahaulika. Vita ya kisiasa inapigwa kila kona. Yaani ulitaka nafasi 19 za wabunge wa viti maalum za CDM zipotee hivi hivi seriously. Hapana. Katika mapambano kususa sio option inayokupa faida.

Hakuna kujua mbinu za kutafuta haki hapo wala nini.

Pa kuanzia wamefikaje huko bungeni chama kimeridhia au ni kutoka katika list pendwa ya pole pole?

Kama ni list ya pole pole, huyo ndiyo mwenye kujua mbinu za kudai haki kwa niaba ya CDM? Kwako ewe mwenye uelewa wa mbinu bwerere za kudai haki.

CDM wekeni wazi kwa vitendo ijulikane wapo mnaposimama na hili:

"Mmeridhia au hawa wamefika bei kwa kina pole pole?"

Mbinu? Makelele ya nini?
 
Yawezekana chama dola kimepenyeza Rupia.. Mkate mgumu kwa chai hakunaga!

Itakuwa.

Majibu kwa njama na rupia hizo na yakawe instant and terminate mithili ya radi kwa wenye njaa wote. Ikawe fundisho kwa wote wasiotufaa!

Wanasema, "mchelewa mwana kulea, hulia yeye."
 
Hakuna usaliti hapa, ni uelewa wako mdogo wa kutojua mbinu mbalimbali za kutafuta haki na maeneo ya kuendesha siasa. Bungeni ni eneo moja muhimu kupiga siasa otherwise utasahaulika. Vita ya kisiasa inapigwa kila kona. Yaani ulitaka nafasi 19 za wabunge wa viti maalum za CDM zipotee hivi hivi seriously. Hapana. Katika mapambano kususa sio option inayokupa faida.

Siasa kwenye bunge kibogoyo? Ama unadhani hatujui kuwa hilo bunge ni dhaifu?
 
Halima, Esther na wenzenu.

Kwa hakika kumekuwa na maneno mengi juu yenu tuliyoyapuuza siku zote. Ilisemekana mtatusaliti kama ilivyosemeka kwa Yuda na hapa hatimaye yametimia.

Jogoo ndiyo huyo keshawika mara tatu.

Ghafla mmesahau kuwa uchaguzi 2020 uliibiwa? Mmesahau kulikuwa na wahanga wa uonevu kwenye uchaguzi huo? Nini kimewasibu?

Habari za kuwa Esther alikuwa pandikizi tokea akiwa uvcmc hazikuwa ngeni. Kwamba wengine mlikuwa wa ile jinsia pendwa ya tatu nani hakuyasikia?

Kuwatoa segerea tulihamasishana hadi wajane wasiokuwa na kitu waliuza hadi kuku kwa ajili yenu. Mkatolewa wanawake kwanza!

Leo hii mmesahau na eti sasa mashabiki wenu waliobakia ni mi-CCM na kina jingaletu?

Malipo mliyotulipa kwa yote tuliyowafanyia siku zote tukiwaona kama wenzetu, maumivu yake yatakwisha "inshallah."

Ila japo mngetuambia, "kama Yuda nini kimewasibu kutusaliti kiasi hiki?"

Je ni kweli CDM imeridhia kinyemela, uamuzi wenu au ni njaa zenu tu ndizo zilizo wapeleka huko?

Kulikoni!
Wewe kwa akikili yako kisoda unazani mwenyekiti hajui watu wanaona mbali halafu naona kama wivu unakusumbua waache dada zetu wakaendelee kupambana, hata hivyo wewe ungeweza kuwasomeshea watoto wao nao wana majukumu acha wajipatie riziki, unashindwa kumlaumu alie kosa urais akakimbilia inje aka waacha baadhi ya raia walio kua na imani naye unawalaumu wadada, wadada wameamua kutekeleza mapambano bila kurudi nyuma hongera, jiulize alie kimbilia inje na hawa dada zetu nani msaliti acha uboya.
 
@CHADEMA kwa jicho la @Pascal Mayalla ni maadui wa taifa, wajinga, wazembe na wasiotakiwa kuwepo kwenye ramani ya nchi
Kwani uongo? Unapopinga mpaka ujenzi wa zahanati, shule, barabara, miradi ya maji nk, kama siyo ujinga na uzembe wa kufikiri ni nini sasa? Mjinga mwingine yuko huko anahangaika kwenda kuichongea nchi kwa mabeberu, kama siyo uzembe wa fikra ni nini? Mmejifanya wenyewe kuwa wenye tabia hizo ulizozitaja kwa matendo yenu ya kipuuzi.
 
Yaani hivyo vimwanamke ni vya kuvitimua fasta, wafutiwe uanachama haraka, rafiki wa adui wako ni adui wako pia
Tutaupinga huo mfumodume wenu kwa nguvu zote. Hamuwezi kuwaonea hivyo eti kwa kuwa ni wanawake. Ingekuwa ni nafasi zenu nyie midume wala msingepiga kelele hivyo, ila kwa kuwa ni wanawake sasa mnawageuza na kuwaita vimwanamke. Uonevu hatutaki.
 
Wewe kwa akikili yako kisoda unazani mwenyekiti hajui watu wanaona mbali halafu naona kama wivu unakusumbua waache dada zetu wakaendelee kupambana, hata hivyo wewe ungeweza kuwasomeshea watoto wao nao wana majukumu acha wajipatie riziki, unashindwa kumlaumu alie kosa urais akakimbilia inje aka waacha baadhi ya raia walio kua na imani naye unawalaumu wadada, wadada wameamua kutekeleza mapambano bila kurudi nyuma hongera, jiulize alie kimbilia inje na hawa dada zetu nani msaliti acha uboya.
Hayo majamaa huwa ni mapumbavu nayaambiaga kila siku. Yanashindwa kuelewa Mdee hawezi sema anamshukuru Mwwnyekiti Mbowe kwenye hotuba yake iwapo Mbowe hana taarifa.
 
We si ni m CCM? Chadema umejiunga lini?
 
Habari mbaya sana kwenu ni kuwa mtawanunua lakini hamtawanunua wote.

Habari mbaya zaidi kwenu ni kuwa hawa wana siku chache sana bado katika CDM.
Pokeeni maboya wenzenu hao bora muwape kadi kabisa, maana palanja liko njiani muda si muda watakuwa hawana vyama.
 
Hayo majamaa huwa ni mapumbavu nayaambiaga kila siku. Yanashindwa kuelewa Mdee hawezi sema anamshukuru Mwwnyekiti Mbowe kwenye hotuba yake iwapo Mbowe hana taarifa.

Hiiii bagosha.

Kwa hakika halipo lipumbafu kuliko liweye. Eti unayaambiaga.

Wasalimie muganza.
 
Back
Top Bottom