daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kwani CHADEMA kupeleka wabunge viti maalumu nyumbani kwako unalala njaa au hupati huduma ya ndoa?Kutokana na hali iliyojitokeza leo ya chadema kuunga mkono juhudi nami natangaza kuunga mkono juhudi kwa kuhamia ccm.
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze nimekuwa mdau mzuri wa harakati za kutafuta haki na maendeleo ya kweli kwa kushabikia upinzani.
Kitendo kilichofanywa na key leaders wa chama kutosikiliza kilio na maamuzi ya wanachama wao ni dhahiri kuwa chama cha chadema kimekufa rasmi.
Kuanzia leo sitoshabikia chadema ikiwa katika hali hii.
Kwaheri chadema !
Nimesoma japo kwa haraka ila inaonesha Waafrika hatupo tayari kwa mabadiliko na wale tunaoamini watatusaidia kuleta mabadiliko kumbe wamekuwa hawana kusudi la dhati la kufanya tunachoamini wananchi na wadau wamabadiliko . Viongozi tunaowapa dhamana ya madaraka wapo kwa maslahi yao zaidiMkuu, soma hii mada yangu ndio utaelewa nini maana ya siasa za Afrika;
Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?
Do African Political Activists sincerely fight for Democratic Change or they simply keep alive a well-known old saying "It's Our Turn to Eat"? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu wa Tanzania; Katika msimu wa joto wa mnamo mwaka 2009, aliyekuwa Rais wa Marekani bwana...www.jamiiforums.com
Ndugu tatizo siasa ni imani binafsi naamini upinzani ndio muda wote husimama upande wa wananchi dhidi ya serikali dhalimuKwani CHADEMA kupeleka wabunge viti maalumu nyumbani kwako unalala njaa au hupati huduma ya ndoa?
Kutokana na hali iliyojitokeza leo ya chadema kuunga mkono juhudi nami natangaza kuunga mkono juhudi kwa kuhamia ccm.
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze nimekuwa mdau mzuri wa harakati za kutafuta haki na maendeleo ya kweli kwa kushabikia upinzani.
Kitendo kilichofanywa na key leaders wa chama kutosikiliza kilio na maamuzi ya wanachama wao ni dhahiri kuwa chama cha chadema kimekufa rasmi.
Kuanzia leo sitoshabikia chadema ikiwa katika hali hii.
Kwaheri chadema !
Bora tu waende bungeni maana wananchi wenyewe wanaowapigania hawana ushirikianoNdugu tatizo siasa ni imani binafsi naamini upinzani ndio muda wote husimama upande wa wananchi dhidi ya serikali dhalimu
Kutokana na hali iliyojitokeza leo ya chadema kuunga mkono juhudi nami natangaza kuunga mkono juhudi kwa kuhamia ccm.
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze nimekuwa mdau mzuri wa harakati za kutafuta haki na maendeleo ya kweli kwa kushabikia upinzani.
Kitendo kilichofanywa na key leaders wa chama kutosikiliza kilio na maamuzi ya wanachama wao ni dhahiri kuwa chama cha chadema kimekufa rasmi.
Kuanzia leo sitoshabikia chadema ikiwa katika hali hii.
Kwaheri chadema !
Ww unaweza kumfukuza mfanyakazi wako bora?Mbowe awafukuze Hawa wasaliti haraka sn wabaki kuwa wabunge wa Ndugai
Yes coz ndio zinaendesha chama Sasa ulitaka ela za kuendesha chama zitoke kwenye mfuko wake?Mwamba Mbowe, mjasiriamali wa kisiasa, na dikteta, ataachaje kuchangamkia fedha ya ruzuku (wabunge wa viti maalumu hutoa 1m/- kila mwezi).
Tumia akili.Kutokana na hali iliyojitokeza leo ya chadema kuunga mkono juhudi nami natangaza kuunga mkono juhudi kwa kuhamia ccm.
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze nimekuwa mdau mzuri wa harakati za kutafuta haki na maendeleo ya kweli kwa kushabikia upinzani.
Kitendo kilichofanywa na key leaders wa chama kutosikiliza kilio na maamuzi ya wanachama wao ni dhahiri kuwa chama cha chadema kimekufa rasmi.
Kuanzia leo sitoshabikia chadema ikiwa katika hali hii.
Kwaheri chadema !
Bora kwa CCMWw unaweza kumfukuza mfanyakazi wako bora?
Hakuna aliyeibiwa ila uhuni tyuuuNchi hii ngumu sana.
Sijaamini mtu aliyeibiwa kura, alikamata mabox na mabegi ya kura feki leo anaamua kuwasaliti wananchi.
Nchi hii shetani ametamalaki, Watanzania hatuna mtetezi wa kweli bali wasaka tonge.
Ushauri mzuri, anatakiwa aufanyie kazi. Amedhalilishwa sana.Ndugu zangu,
Nimeona nitoe ushauri tu kwa mdogo wangu John Mnyika kuwa sasa anatakiwa ang'atuke kwani BAWACHA wamemzidi nguvu.
Ni dhahiri Halima Mdee ana baraka za "mwamba" Freeman Mbowe.
Kwa ufupi tu jiweke pembeni na CHADEMA.