Tulianza kuambiwa kuwa wako bora kuliko wakati wowote pale wanaoitwa wananunuliwa/wanajiuza kwenda CCM hasa madiwani na wabunge baadae wakawa viongozi hapa kuna makatibu wakuu Dk slaa na Dk mshinji achiliambali makamu wenyeviti kila siku unasikia mtu ama kafukuzwa au kaondoka
Tuliambiwa ni wasaliti ila kwa idadi inavyozidi inatia hofu juu ya usaliti au kununuliwa kutakuwa kuna tatizo kubwa ambalo ndio kifo haswa
Kundi lililo ondoka na kina zito ,mwigamba na kitila wakaanzisha chama chao baadae wenyeviti wa kiidara kama katambi nao wakakimbia idadi ni ndefu sana ila unaweza kuongeza Yao
List walikikimbia/kukimbizwa CHADEMA
Said Arfi. makamu mwenyekiti bara
Kitila mkumbo. mtafiti wa chama
Dk Willbrod slaa. katibu mkuu Taifa
Dk . Vicent mashinji katibu mkuu taifa
Zito kabwe. naibu katibu mkuu bar a
Samson mwigamba. fedha na mipango
Mwita waitara
Juliana shonza
David kafurila
Marla mwampamba
Mayor kalist
Mwambe
Madiwani wa arusha jiji
Madiwani wa mbeya jiji
Moleli
Edward lowest
Fredrick sumaye
Komu
Kubenea
Silence
Rwakatale
Idadi inaweza ikawa zaidi na ziadi mbaya zaidi wote wanaoondoka hulalamika kuwa tatizo lipo ndani ya chama, uongozi upo kibabe hata wale viogozi wa dini na watu maarufa kama mzee sabodo wanaiona chadema kuwa sio taasisi yenye tija licha ya kupenda huko Mwanzo
Je ndio mwisho wenu au tusubili tena?
USSR
Sent using
Jamii Forums mobile app