Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Utasikia wamenunuliwa.
Kitu imoja nina uhakika, silinde kokote atakakoenda anaenda na jimbo lake.
Kabla ya CHADEMA kumpitisha ulikua unamfahamu?

CHADEMA is bigger than Silinde huko Mbeya by far

Pona yake aende CCM at least watamsaidia kuiba kura ila akienda NCCR atagawa tu kura na jimbo litarudi CCM.

Ameonyesha insubordination kubwa sana, Kafulila yukwapi? Zitto aliambulia nini 2015 zaidi ya kajimbo kamoja?

Vijana wajifunze kwa Mnyika amekuwa loyal sana licha ya kuumizwa mnoo ndani ya chama leo hii kawa katibu Mkuu, uvumilivu ni muhimu sana.
 
Kabla ya CHADEMA kumpitisha ulikua unamfahamu?

CHADEMA is bigger than Silinde huko Mbeya by far

Pona yake aende CCM at least watamsaidia kuiba kura ila akienda NCCR atagawa tu kura na jimbo litarudi CCM.

Ameonyesha insubordination kubwa sana, Kafulila yukwapi? Zitto aliambulia nini 2015 zaidi ya kajimbo kamoja?

Vijana wajifunze kwa Mnyika amekuwa loyal sana licha ya kuumizwa mnoo ndani ya chama leo hii kawa katibu Mkuu, uvumilivu ni muhimu sana.
Kikubwa ni hilo jimbo chadema wmeshalipoteza. Haijalishi linaenda sisiemu au NCCR
 
Uonevu tu umefanyika. Kwani kati ya mbunge anatakiwa kuwa Loyal kwa Chama au Wananchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgombea binafsi walitaka hao CHADEMA ila CCM iligoma 2015!!

Katiba inasema unakuwa mbunge ukidhaminiwa na chama, hivyo mbunge lazima tu awe loyal kwa chama kabla ya wananchi.

Na ndio maana ukivuliwa uanachama spika anatangaza jimbo liko wazi kwa NEC.

Sasa nachoshangaa hao hao CCM waliokataa mgombea binafsi eti leo hii wanalalamika mbunge kufukuzwa chama anakosa ubunge.

Jamani CCM ndio waliosababisha haya sio CHADEMA, so wasijifanye wana uchungu na Silinde.
 
Hongereni Chadema, hao wabunge mapoyoyo waliotimuliwa uanachama wa Chadema, walikuwa wameshajifukuza wenyewe Chadema kwa kauli zao.
 
Mgombea binafsi walitaka hao CHADEMA ila CCM iligoma 2015!!

Katiba inasema unakuwa mbunge ukidhaminiwa na chama, hivyo mbunge lazima tu awe loyal kwa chama kabla ya wananchi...
CCM na lispika lao lindunga yai wanaenda na kauli ya The enemy of my enemy is my friend.
 
Chadema ilikua zamani bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo the so called jiwe ndio kafanikiwa kuwaaminisha hivyo? Yaliyosababisha uone Chadema ipo hivyo si ni jiwe au kuna miujiza ilitokea.

Wekeni mind zenu stationary wakati jiwe akiendelea kuwabadilisha imani, hakika mtaona yale ambayo macho yenu hayawezi kuona.
 
Tulianza kuambiwa kuwa wako bora kuliko wakati wowote pale wanaoitwa wananunuliwa/wanajiuza kwenda CCM hasa madiwani na wabunge baadae wakawa viongozi hapa kuna makatibu wakuu Dk slaa na Dk mshinji achiliambali makamu wenyeviti kila siku unasikia mtu ama kafukuzwa au kaondoka

Tuliambiwa ni wasaliti ila kwa idadi inavyozidi inatia hofu juu ya usaliti au kununuliwa kutakuwa kuna tatizo kubwa ambalo ndio kifo haswa

Kundi lililo ondoka na kina zito ,mwigamba na kitila wakaanzisha chama chao baadae wenyeviti wa kiidara kama katambi nao wakakimbia idadi ni ndefu sana ila unaweza kuongeza Yao

List walikikimbia/kukimbizwa CHADEMA

Said Arfi. makamu mwenyekiti bara
Kitila mkumbo. mtafiti wa chama
Dk Willbrod slaa. katibu mkuu Taifa
Dk . Vicent mashinji katibu mkuu taifa
Zito kabwe. naibu katibu mkuu bar a
Samson mwigamba. fedha na mipango
Mwita waitara
Juliana shonza
David kafurila
Marla mwampamba
Mayor kalist
Mwambe
Madiwani wa arusha jiji
Madiwani wa mbeya jiji
Moleli
Edward lowest
Fredrick sumaye
Komu
Kubenea
Silence
Rwakatale

Idadi inaweza ikawa zaidi na ziadi mbaya zaidi wote wanaoondoka hulalamika kuwa tatizo lipo ndani ya chama, uongozi upo kibabe hata wale viogozi wa dini na watu maarufa kama mzee sabodo wanaiona chadema kuwa sio taasisi yenye tija licha ya kupenda huko Mwanzo

Je ndio mwisho wenu au tusubili tena?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili wala halihitaji PhD kujua kuwa uliyoandika ni vice versa.

Kama mwenyekiti wenu CCM ameshakimbia nchi hapo kuna nini tena!?
 
Tulianza kuambiwa kuwa wako bora kuliko wakati wowote pale wanaoitwa wananunuliwa/wanajiuza kwenda CCM hasa madiwani na wabunge baadae wakawa viongozi hapa kuna makatibu wakuu Dk slaa na Dk mshinji achiliambali makamu wenyeviti kila siku unasikia mtu ama kafukuzwa au kaondoka...

Hakuna jambo la kishujaa kama walilofanya CHADEMA. Hiki chama haki mzaha hata kidogo na wazandiki na wasaliti hata kama ni nani. Huu ni mwamba wa siasa za Tz na Africa.

Nyerere alishaona CHADEMA hata ikiwa changa kabisa na akasema ipo siku na siku hiyo ipo karibu. Hakuna kumbembeleza mtu awaye yote. Hongera mashujaaa wa CDM. Peoples!
 
Now in time, no wonders.

Chama bora cha siasa huwa kinaandaa vijana ambao wakati ukifika kiutawala wanakuwa na uwezo mkubwa kuingia rasmi ktk mfumo wa kiuongozi na kuongoza vyema.

CHADEMA ina vijana wengi waliopo mjini, vijinini na hata ng'ambo ya nchi walio bora zaidi ya hao wanao-ondoka.

Hii ndio hofu kuu ya CCM maana wao walijisahau kuandaa vijana kwa wakati huu na ujao. Kwahiyo usishangae haya kutokea.
 
Hakuna jambo la kishujaa kama walilofanya CHADEMA. Hiki chama haki mzaha hata kidogo na wazandiki na wasaliti hata kama ni nani. Huu ni mwamba wa siasa za Tz na Africa. Nyerere alishaona CHADEMA hata ikiwa changa kabisa na akasema ipo siku na siku hiyo ipo karibu. Hakuna kumbembeleza mtu awaye yote. Hongera mashujaaa wa CDM. Peoples.
Dah! CDM ilikuwepo na itakuwepo milele daima, haifi leo wala kesho CCM mtasubiri sana [emoji3577][emoji2960][emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom