Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Yabi hiki kibri cha hawa mamluki ni kwa sababu hatuna tume huru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya CHADEMA kumpitisha ulikua unamfahamu?Utasikia wamenunuliwa.
Kitu imoja nina uhakika, silinde kokote atakakoenda anaenda na jimbo lake.
Kikubwa ni hilo jimbo chadema wmeshalipoteza. Haijalishi linaenda sisiemu au NCCRKabla ya CHADEMA kumpitisha ulikua unamfahamu?
CHADEMA is bigger than Silinde huko Mbeya by far
Pona yake aende CCM at least watamsaidia kuiba kura ila akienda NCCR atagawa tu kura na jimbo litarudi CCM.
Ameonyesha insubordination kubwa sana, Kafulila yukwapi? Zitto aliambulia nini 2015 zaidi ya kajimbo kamoja?
Vijana wajifunze kwa Mnyika amekuwa loyal sana licha ya kuumizwa mnoo ndani ya chama leo hii kawa katibu Mkuu, uvumilivu ni muhimu sana.
Mgombea binafsi walitaka hao CHADEMA ila CCM iligoma 2015!!Uonevu tu umefanyika. Kwani kati ya mbunge anatakiwa kuwa Loyal kwa Chama au Wananchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM na lispika lao lindunga yai wanaenda na kauli ya The enemy of my enemy is my friend.Mgombea binafsi walitaka hao CHADEMA ila CCM iligoma 2015!!
Katiba inasema unakuwa mbunge ukidhaminiwa na chama, hivyo mbunge lazima tu awe loyal kwa chama kabla ya wananchi...
WAMEFUTWA!Walio sikia vizuri hotuba ya Katibu Mkuu wa Chadema watafafanulie vizuri iwapo wamefutwa au bado maana kuazima ina maana mchakato bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo the so called jiwe ndio kafanikiwa kuwaaminisha hivyo? Yaliyosababisha uone Chadema ipo hivyo si ni jiwe au kuna miujiza ilitokea.
Tulianza kuambiwa kuwa wako bora kuliko wakati wowote pale wanaoitwa wananunuliwa/wanajiuza kwenda CCM hasa madiwani na wabunge baadae wakawa viongozi hapa kuna makatibu wakuu Dk slaa na Dk mshinji achiliambali makamu wenyeviti kila siku unasikia mtu ama kafukuzwa au kaondoka...
Tena bila ventilatorCCM ipo ICU
Wamecheza na moto. CDM hoyeeee! Mmeonesha msimamo usiotetereka. Songeni mbele.Walio sikia vizuri hotuba ya Katibu Mkuu wa Chadema watafafanulie vizuri iwapo wamefutwa au bado maana kuazima ina maana mchakato bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! CDM ilikuwepo na itakuwepo milele daima, haifi leo wala kesho CCM mtasubiri sana [emoji3577][emoji2960][emoji108]Hakuna jambo la kishujaa kama walilofanya CHADEMA. Hiki chama haki mzaha hata kidogo na wazandiki na wasaliti hata kama ni nani. Huu ni mwamba wa siasa za Tz na Africa. Nyerere alishaona CHADEMA hata ikiwa changa kabisa na akasema ipo siku na siku hiyo ipo karibu. Hakuna kumbembeleza mtu awaye yote. Hongera mashujaaa wa CDM. Peoples.