Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Kamati kuu imejitikenya na kucheka wenyewe, Wabunge waliofukuzwa watabaki Bungeni wanaenda mahakamani kutafuta court injection.

Pia Speaker atawabeba wameweka maslahi ya wananchi mbele na sio chama. This is the end of the beginning of CHADEMA.
 
Sasa kama ni hivyo kwanini watandike risasi hao wapinzani feki, yaani kwanini Mbowe arisk kukaa gerezani miezi 6 kufurahisha wazungu?

CUF ya lipumba au TLP ya mrema mbona inatosha kuonyesha ushahidi wa demokrasia Tanzania!!

Leo hii Mbowe akienda CCM mtampa uwaziri atakula bata na hatowahi kaa jela sasa kwanini apigike upinzani ambako hakuna hela za kutafuna za kutosha??

Hii metaphor yako haina logic kabisa msiwafanye CCM kama ni bright kiasi hiko.
 
Kamati kuu imejitikenya na kucheka wenyewe, Wabunge waliofukuzwa watabaki Bungeni wanaenda mahakamani kutafuta court injection. Pia Speaker atawabeba wameweka maslahi ya wananchi mbele na sio chama. This is the end of the beginning of CDM
Masikini sasa kwani wamefukuzwa ili wasipate mafao yao?
Some people like you always wanna be academic were is not even necessary!
 
VIZURI SANA
 
Wa kuwaachia wapo wengi tu ndio maana kamsogeza mnyika ukatibu na Lissu makamu yeyote kati ya hao anaweza kuibeba CHADEMA kwa miaka 10 ijayo...
Hii ni kweli kabisa, ila alikuwa na mvuto kwa vijana na wasomi.Kuna watu walifikiri akitoka wata fix nafas yake kirahisi, pigo lingine ni kuondoka kwa Dr. Slaa,
 
Kamati kuu imejitikenya na kucheka wenyewe, Wabunge waliofukuzwa watabaki Bungeni wanaenda mahakamani kutafuta court injection. Pia Speaker atawabeba wameweka maslahi ya wananchi mbele na sio chama. This is the end of the beginning of CDM
Duu hiki kimalkia miguu juu kichwa chini!
 
Mkuu kupinga unaweza sana ila kupitia vikao halali, ambacho silinde angefanya ni kukusanya saini za waliokataa mapendekezo alafu kuwasilisha kma hoja rasmi kupitia platform zao ili ijadiliwe na vikao halali.

Ila sio kusikia agizo la mwenyekiti alafu unaenda tu kwa media kukejeli sio ustaarabu.

Mbona kina Komu na Kubenea walipotaka kumdhuru Jacob hawakutimuliwa? Ama ule mpango wa kuhamia ACT plus ule mpango wa kumtoa Mbowe kupitia sumaye!! Sababu walienda kwenye vikao halali kuyatolea ufafanuzi ila wangeenda tu kwenye media wangeshafukuzwa kitambo sana.

Tujifunze nidhamu, chama ni taasisi.
 
CHADEMA utakuwa ujinga wa kutokwenda shule kushabikia CHADEMA
 
Mimi nawashangaa Hawa Mafisi wa Lumumba Street. Wao wamesha sahau maamuzi magumu ya Mwenyekiti wao Jiwe kuhusu sakata la kina Membe, Mzee Makamba, Kinena, Nape,Januari etc....!

Wakifanya wao ni nidhamu ya chama inaxingatiwa lakini wakifanya CHADEMA.....umbeya mwingi Sana!

Kila Chama kina sheria,Kanuni na taratibu za kufuata kwa yeyote anayekiuka maelekezo ya Chama.

After all Bunge la Bajeti linamalixika mwisho wa mwezi na linavunjiliwa mbali, so far so good. There's nothing to loose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…