Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Daaah, mkuu, hapo unamwambia yuleee au ni Nani tena mkuu
Ni wewe! Sijui kama ulifaulu mitihani yako sawasawa kama huwezi kujibu swali rahisi kama hilo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah, mkuu, hapo unamwambia yuleee au ni Nani tena mkuu
Ndugai kumrudisha mbunge asiye na chama Bungeni.
Sasa kama ni hivyo kwanini watandike risasi hao wapinzani feki, yaani kwanini Mbowe arisk kukaa gerezani miezi 6 kufurahisha wazungu?Naona hapa wanaoumia ni washabiki,Kocha hana malengo ya kuisaidia timu yake bali kuwasaidia timu pinzani,mambo yataenda hivi mwisho wa siku hata yeye atataka akae pembeni timu iongozwe na kocha aliyetoka timu pinzani huku ikijulikana wazi kuwa kocha yule ni mnazi wa timu yake na mwanachama mtiifu,...
Yeye ana kaz maalumusafi sanaaa! juakali vp
Masikini sasa kwani wamefukuzwa ili wasipate mafao yao?Kamati kuu imejitikenya na kucheka wenyewe, Wabunge waliofukuzwa watabaki Bungeni wanaenda mahakamani kutafuta court injection. Pia Speaker atawabeba wameweka maslahi ya wananchi mbele na sio chama. This is the end of the beginning of CDM
Mh...
VIZURI SANAKikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno.
Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh. John J. Mnyika.
—————
UPDATES
—————
Akitolea maamuzi hayo, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema
Kamati Kuu CHADEMA imeazimia Wabunge Anthony Komu na Joseph Selasini pamoja na kuwa wamejipotezea sifa ya uanachama wa CHADEMA, wameendelea kutoka kauli za kejeli, kashfa na kukiuka maagizo ya Chama, hivyo Chama kimeazimia kuwafukuza uanachama
Mbunge David Silinde na Wilfred Rwakatare sio tu wamekiuka agizo la Chama bali wamekuwa wakijitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa maneno ya kashfa na kejeli dhidi ya maagizo ya Chama na Viongozi wa Chama, Kamati Kuu CHADEMA imefikia uamuzi wa kuwafuta uanachama.
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Mariamu Msabaha, ameshiriki kukiuka maagizo ya Chama, ilitakiwa awe mfano na kwakuwa amekwenda kinyume, amevuliwa nafasi zake zote ndani ya Chama na kubaki na Ubunge na atatakiwa ajieleze kwanini asichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo.
View attachment 1447012
View attachment 1447013
View attachment 1447014
Huyu huyu mzee wa chimbo au mwingine?nasikia wamempitisha Magufuli kuwa mgombea wao wa kiti cha urais
Ni haki yake kikatiba hayo mengine ni mapovuSilinde ni mwehu sijapata kuona.
Hii ni kweli kabisa, ila alikuwa na mvuto kwa vijana na wasomi.Kuna watu walifikiri akitoka wata fix nafas yake kirahisi, pigo lingine ni kuondoka kwa Dr. Slaa,Wa kuwaachia wapo wengi tu ndio maana kamsogeza mnyika ukatibu na Lissu makamu yeyote kati ya hao anaweza kuibeba CHADEMA kwa miaka 10 ijayo...
Duu hiki kimalkia miguu juu kichwa chini!Kamati kuu imejitikenya na kucheka wenyewe, Wabunge waliofukuzwa watabaki Bungeni wanaenda mahakamani kutafuta court injection. Pia Speaker atawabeba wameweka maslahi ya wananchi mbele na sio chama. This is the end of the beginning of CDM
Mkuu kupinga unaweza sana ila kupitia vikao halali, ambacho silinde angefanya ni kukusanya saini za waliokataa mapendekezo alafu kuwasilisha kma hoja rasmi kupitia platform zao ili ijadiliwe na vikao halali.Sasa Boss, hapo ni nani atakayetumia Busara?
Ni aibu kwamba Maelezo ya wote waliohama chama yanaonekana yako sahihi. Kwamba ukitaka kubaki CHADEMA, lazima utii amri za Mbowe. Hii ni hali wanayoiga toka CCM lakini, hawajitambui. CCM ina legacy ya chama kimoja na chama kushika hatamu. Vyama vya mageuzi kama CHADEMA walistahili kuwa watu wenye sayansi ya siasa na uwezo mkubwa wa ufahamu...
Silinde gasho sana yani.Silunde ni mpumbavu Sana kijana halafu unakuwa msaliti.
Sijawahi kuwa na mashaka na chadema.
Okay covidiot
Mimi nawashangaa Hawa Mafisi wa Lumumba Street. Wao wamesha sahau maamuzi magumu ya Mwenyekiti wao Jiwe kuhusu sakata la kina Membe, Mzee Makamba, Kinena, Nape,Januari etc....!Mkuu maagizo ya mwenyekiti ni official directive ya chama ambayo kila mwanachama anapaswa kusimamia.
Kwa hiyo kuna mawili wangekataa kupitia vikao halali vya chama hyo directive ambapo silinde ange raise hyo hoja kma katibu wa wabunge kwamba maagizo hayo ya chama wameyakataa...