Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

Nawaonea Huruma wana- CCM waaminfu. Vijana wanakuja kusepa na nafasi zao.
 
Na baba yao Dr.Slaa, sasa kwao ni njia nyeupe.
 
Wanasema "gari bovu huwezi lisukuma kwa kukaa ndani yake"

Tafakari!
 



Hivi vijana wa ccm wanajitoaga ufahamu? hivi huo ufisadi umazalishwa na chama gani? ni wapinzani wangapi tangia huyo mnayemsifia kupambana na ufisadi wamefikishwa mahakamani? Ni lini ccm waliwahi kukiri kuwa serikali yake inafanya ufisadi? mbona vijana wenzangu mnashindwa kutumia ufahamu wenu vizuri!!!!!! eti wakapambane na ufisadi nje ya chadema,kweli kujitoa ufahamu ni dhambi kubwa...mbona mmekuwa wanafiki sana, hatujaona waliosema pesa ya mboga wakichukuliwa hatua yoyote, wapo kwenye chama gani?
 
acha upunguani wewe hakuna mwanachama aliyehama Chadema mwenye akili timamu wote zinafanana na za kwako,Kafulila utumbili ulimponza na hajawahi kuwa mwanachma wa chadema,kwani udikteta unaowaondoa wenzako huko ccm na ufisadi wa sisonje kujijengea uwanja,kununua ndege bila utaratibu na kuteua kiukanda hyo haitoshi kuwa ufisadi na upanya buku?
 
Jamii forum tumeanza kupoteza maana ya jukwaa hili, watu wanazusha tu taarifa ambazo hazina ukweli, this is terrible
Mbona mkisikia tetesi wa lumumba wanakuja ufipa huwa mnashangilia??
Hii inaonyesha inawauma sana.
Mnyika ni Chadema Original, sio huu upuuzi wa sasa! Nafsi INAMSUTA kila siku.
 
Shida ni ushahidi mkuu. Walitajiwa tuu ila ushahidi ukawa uko chadema mkuu
 
Anakaribishwa kama ni kweli,ni asset huyu.Dah,labda ndio maana alikuwa kimya sana,Kobe alikuwa anatunga sheria!

Magufuli noma.
 

Ndugu mwandishi mbowe anazimaje vita ya ufisadi? Kwani yy ni mahakama au ni serikali? Mahakama ya mafisadi si ipo? Nilitegemea hao mafisadi wangekuwa keko by now
 
Ndugu mwandishi mbowe anazimaje vita ya ufisadi? Kwani yy ni mahakama au ni serikali? Mahakama ya mafisadi si ipo? Nilitegemea hao mafisadi wangekuwa keko by now
mbowe ametaza ajenda ufisadi kuzungumzwa ndani ya chama
 
Acha tu wakimbie kwa kweli maana walichokuwa wanakipigania kimenajisiwa.
 
Anamfuata Kafulila wapi?.........kwenye uDC?
 
Acha aende maana sioni tofauti ya kuwepo au kutokuwepo kwake kwenye chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…