Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo gharama ya democrasia, wacha tuingie gharama. Dawa pekee ni katiba mpya, lakini kwa kuwa Mkulu wakati wa kujinadi hakuahidi popote kuhusu katiba mpya, basi waendelee kuhama tu. Tanzania sio maskini bana!Tume itafakari wanaohama wasigombee wanaitia hasara nchi na wananchi waliowaamini
CHADEMA NI TAASISI NA CHAMA CHA WATANZANIA
INA MAANA HIYO FAMILIO ISIPOKUWEPO CHAMA HAKITAKUWEPO AU UNA MAANA GANI.
MIMI NIMESEMA ILE NI TAASISI HATA AONDOKE NANI CHAMA BADO KIPO
Tumekalia umbea kama wanawake,tufanye kazi hali ni ngumu.
Tume itafakari wanaohama wasigombee wanaitia hasara nchi na wananchi waliowaamini
Heche na Bulaya hawakosekani hapoNyalandu ameweka sytle ya kuhama vyama.
Tetesi kutoka ndani ya chama fulani ni kwamba kuna wabunge wanne ambao watahama chama chao. Wengine walionekana jijini Dar es Salaam walipokuwa wakitoka katika kikao chao cha siri.
Pamoja na kwamba maamuzi ya mwisho yatatolewa hivi karibuni kuhusu namna ya kujitangaza kuhama chama chao, bado kuna shinikizo kuwa wajitangaze kwa wakati mmoja ila wapo wanaotamani kila mtu akajitangazie jimboni kwake.
Wakihama, watarejea tena kugombea kupitia chama watakachokwenda. Watu wanaamka, na wanafanya msimu wa kampeni kuanza. Kila wanapojiengua tume ya uchaguzi inabidi kutangaza utaratibu wa uchaguzi.
Tuendelee kusubiri.
Mungu ibariki Tanzania
hahahahha..Hizi zako ni ramli.hazina ukweliHabari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
kuna tetesi kuwa lowasa atajiondoa CHADEMA na kujiunga na CHAUMA.Afadhali aende tu, huwezi kuishi na kinyesi sebuleni....wakae tu na Lowasa wao.
Hii ni habari njema, waache nafasi na sisi tupate vyeo tuanze kula, wenzetu wameshavimbiwa.Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe