Nakubaliana nawe, kama kweli ana uchungu wa watu kunyimwa haki kwanini aishie miaka 35 na asiishie miaka 18? Huu ni ubinafsi tu. Tuwaache wenye umri chini ya miaka arobaini wakagombee ubunge na nafasi nyinginezo za utumishi ili kupata uzoefu walau wa miaka 10 hadi 15. Tukikubali hilo, basi hata elimu isiwe kigezo, maana wote wana haki. Huu utaratibu wala hauumizi. Ni ushamba, uliojaa ubinafsi mtu kulazimisha katiba ibadirishwe ili kuweza kumu accomodate yeye.Nikiwa kama mwanachadema na pia mzaliwa wa kijiji cha kimobwa wilaya ya kasulu(KIGOMA) sikubaliani na suala la umri wa miaka 35 kugombea urais coz kwa umri huo tunaweza kupata rais ambaye hajapevuka sawasawa kisiasa na kiakili na akaja kutupelekea utoto wake ikulu.
Zitto mara kwa mara amekuwa akitumia mifano ya akina paul kagame na meles zenawi wa nigeria kuwa walifanya makubwa wakiwa na umri mdogo,,hilo ni sawa lakini ilitokana na hali ya kisiasa kwenye nchi zao nikimaanisha kulikuwa na SINTOFAHAMU KWENYE NCHI ZAO then wakiwa kama vijana wakaanza harakati za kujitoa mhanga ili mambo yakae kwenye msitari,,so hali hiyo ya kisiasa iliyokuwepo kwao ni tofauti kabisa na hali ya kisiasa ilivyo tanzania.
Sasa ushauri wangu kwa zitto ni kuwa badala ya ku2mia muda mwingi kupigia debe suala la umri ni bora apigie chapuo la tume huru ya uchaguzi coz bila tume huru chadema twaweza kuendelea kuwasindikiza ccm kisha 2015 mje muanze kutuambia kuwa mmetambua dawa ya kuiondoa ccm 2020 hapo hatutaelewana.
Hivyo kabwe zitto vuta subira umri wako wa miaka 40 ukifika utagombea bila tatizo coz uongoz hautaki papara vinginevyo utaonekana una uchu wa madaraka na ubinafsi ndani yake.
Tanzania kwa sasa matatizo yetu hayasababishwi na umri wa rais.Watanzania tunahitaji katiba yenye kusimamia misingi ya utawala wa sheria, kwa sasa ndicho kinachoisumbua nchi yetu.
Nikiwa kama mwanachadema na pia mzaliwa wa kijiji cha kimobwa wilaya ya kasulu(KIGOMA) sikubaliani na suala la umri wa miaka 35 kugombea urais coz kwa umri huo tunaweza kupata rais ambaye hajapevuka sawasawa kisiasa na kiakili na akaja kutupelekea utoto wake ikulu.
Zitto mara kwa mara amekuwa akitumia mifano ya akina paul kagame na meles zenawi wa nigeria kuwa walifanya makubwa wakiwa na umri mdogo,,hilo ni sawa lakini ilitokana na hali ya kisiasa kwenye nchi zao nikimaanisha kulikuwa na SINTOFAHAMU KWENYE NCHI ZAO then wakiwa kama vijana wakaanza harakati za kujitoa mhanga ili mambo yakae kwenye msitari,,so hali hiyo ya kisiasa iliyokuwepo kwao ni tofauti kabisa na hali ya kisiasa ilivyo tanzania.
Sasa ushauri wangu kwa zitto ni kuwa badala ya ku2mia muda mwingi kupigia debe suala la umri ni bora apigie chapuo la tume huru ya uchaguzi coz bila tume huru chadema twaweza kuendelea kuwasindikiza ccm kisha 2015 mje muanze kutuambia kuwa mmetambua dawa ya kuiondoa ccm 2020 hapo hatutaelewana.
Hivyo kabwe zitto vuta subira umri wako wa miaka 40 ukifika utagombea bila tatizo coz uongoz hautaki papara vinginevyo utaonekana una uchu wa madaraka na ubinafsi ndani yake.
Sikujua kumbe Bwana Mdogo Kabwe hata 35 bado ! Subiriiiiii
hata mama yako ssa atapumua pia.