Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

tumekuwa taifa la kukurupuka, leo UMRI ndio big deal tena kwa ajil tu ya mtu mmoja!! sasa tubadil katiba kwa sabab yake, vp kesho na kesho kutwa? kila m2 akijipendelea kwenye katiba tutafika tunakoenda?(kama tunaenda) hata hivyo bado hawajatueleza kwanini 35 na si 50 au 30 au 18 kabisa, Bado Tz kuna tatizo kubwa la wa2 wachache kufanya maamuzi pengine ya hovyo kabisa kwa maslah yao wenyewe, anyway tym wl tell!! kuhusu suala la wanawake na wanaume 1;1 me naona halina mashiko, mbona hata hao waliopo bungeni hawatetei wanawake wenzao wapate huduma bora za afya, maji nishat nk? au ubinafsi tu ndo unaopeleka wa2 kunena yao?
 
Katiba ni lazima i-reflect matakwa ya watanzania wengi. Ni upuuzi suala la katiba kutekwa na maoni ya mtu mmoja. Tutoe maoni yetu kwa ajili ya Tanzania ya sasa na baadae. Urais ni zaidi ya umri. Kwa hiyo miaka 35 au above si hoja. Hoja ni uwezo na uadilifu.
 
Ninakumbuka vema makala ya Bwana Yericko Nyerere isema "Kazi ya kuihujumu Chadema aliyopewa Zitto Kabwe inapokuwa ngumu kwake"

Mara ya kwanza sikumuelewa ndugu Yeicko Nyerere lakini sasa nimemuelewa kwa hali hii ya Zitto!

Kweli yupo kazini rasmi kuihujumu Chadema!
 
Nikiwa kama mwanachadema na pia mzaliwa wa kijiji cha kimobwa wilaya ya kasulu(KIGOMA) sikubaliani na suala la umri wa miaka 35 kugombea urais coz kwa umri huo tunaweza kupata rais ambaye hajapevuka sawasawa kisiasa na kiakili na akaja kutupelekea utoto wake ikulu.
Zitto mara kwa mara amekuwa akitumia mifano ya akina paul kagame na meles zenawi wa nigeria kuwa walifanya makubwa wakiwa na umri mdogo,,hilo ni sawa lakini ilitokana na hali ya kisiasa kwenye nchi zao nikimaanisha kulikuwa na SINTOFAHAMU KWENYE NCHI ZAO then wakiwa kama vijana wakaanza harakati za kujitoa mhanga ili mambo yakae kwenye msitari,,so hali hiyo ya kisiasa iliyokuwepo kwao ni tofauti kabisa na hali ya kisiasa ilivyo tanzania.
Sasa ushauri wangu kwa zitto ni kuwa badala ya ku2mia muda mwingi kupigia debe suala la umri ni bora apigie chapuo la tume huru ya uchaguzi coz bila tume huru chadema twaweza kuendelea kuwasindikiza ccm kisha 2015 mje muanze kutuambia kuwa mmetambua dawa ya kuiondoa ccm 2020 hapo hatutaelewana.
Hivyo kabwe zitto vuta subira umri wako wa miaka 40 ukifika utagombea bila tatizo coz uongoz hautaki papara vinginevyo utaonekana una uchu wa madaraka na ubinafsi ndani yake.
Nakubaliana nawe, kama kweli ana uchungu wa watu kunyimwa haki kwanini aishie miaka 35 na asiishie miaka 18? Huu ni ubinafsi tu. Tuwaache wenye umri chini ya miaka arobaini wakagombee ubunge na nafasi nyinginezo za utumishi ili kupata uzoefu walau wa miaka 10 hadi 15. Tukikubali hilo, basi hata elimu isiwe kigezo, maana wote wana haki. Huu utaratibu wala hauumizi. Ni ushamba, uliojaa ubinafsi mtu kulazimisha katiba ibadirishwe ili kuweza kumu accomodate yeye.
 
wajua wengine wanadhani kupata hiyo nafasi ni kwenda kuzurura, ukishika hiyo post ni mzigo kwa kwenda mbele. akuna haja ya kupeleka vijana ikulu pale. Tumeona huku mtaani wakuu wa wilaya wenye umri mdogo yaani nitabu kweli kweli mpaka wanakera kiutendaji.Je, sasa iwe ni ikulu, sio ndio basi tena, umri unaofaa ni miaka 45
 
Tanzania kwa sasa matatizo yetu hayasababishwi na umri wa rais.Watanzania tunahitaji katiba yenye kusimamia misingi ya utawala wa sheria, kwa sasa ndicho kinachoisumbua nchi yetu.
 
Nacho fahamu nchi yetu haiendeshwi na raisi kuna madereva wanamrimonti kama katv. Na kuingia ikulu chadema sio leo kazi moja kuvunja chain iliyounda na ccm na wageni wakila siku na wazzee wetu sio leo ikulu ccm kuachia..
 
Tanzania kwa sasa matatizo yetu hayasababishwi na umri wa rais.Watanzania tunahitaji katiba yenye kusimamia misingi ya utawala wa sheria, kwa sasa ndicho kinachoisumbua nchi yetu.

18 chapter Kenya katiba minus chapter 11 devolved goverment inafaa Tanzania.
 
Nikiwa kama mwanachadema na pia mzaliwa wa kijiji cha kimobwa wilaya ya kasulu(KIGOMA) sikubaliani na suala la umri wa miaka 35 kugombea urais coz kwa umri huo tunaweza kupata rais ambaye hajapevuka sawasawa kisiasa na kiakili na akaja kutupelekea utoto wake ikulu.
Zitto mara kwa mara amekuwa akitumia mifano ya akina paul kagame na meles zenawi wa nigeria kuwa walifanya makubwa wakiwa na umri mdogo,,hilo ni sawa lakini ilitokana na hali ya kisiasa kwenye nchi zao nikimaanisha kulikuwa na SINTOFAHAMU KWENYE NCHI ZAO then wakiwa kama vijana wakaanza harakati za kujitoa mhanga ili mambo yakae kwenye msitari,,so hali hiyo ya kisiasa iliyokuwepo kwao ni tofauti kabisa na hali ya kisiasa ilivyo tanzania.
Sasa ushauri wangu kwa zitto ni kuwa badala ya ku2mia muda mwingi kupigia debe suala la umri ni bora apigie chapuo la tume huru ya uchaguzi coz bila tume huru chadema twaweza kuendelea kuwasindikiza ccm kisha 2015 mje muanze kutuambia kuwa mmetambua dawa ya kuiondoa ccm 2020 hapo hatutaelewana.
Hivyo kabwe zitto vuta subira umri wako wa miaka 40 ukifika utagombea bila tatizo coz uongoz hautaki papara vinginevyo utaonekana una uchu wa madaraka na ubinafsi ndani yake.

ZENAWI ALIKUA KIONGOZ WA ETHIOPIA NA SIO NIGERIA
NIGERIA NI GOODLUCKY JONATHAN
PIPOZ PAWA
:msela:
 
[Nadhani ndugu yangu ww hujui psychology ya binadamu hapa tunapinga umri chini ya miaka 40 kuwatumikia watanzania kwa nafasi ya urais kwani kwa hulka ya binadamu vijana kuanzia miaka 14 mpaka 30s uvumilivu huwa mdogo hivyo ni rahisi kutuingiza matatizoni,zito anahitajika kujifunza mengi na anapaswa kuhakikisha chama chake kinashika dola na kutumikia watanzania kwa wizara ya fedha.Napata tabu kwa nn mjadala huu kwa wakati huu?
 
Thanx mkuu kwa kunikosoa hapo nilipitiwa kidogo kuandika zenawi kuwa ni wa nigeria badala ya ethiopia.
keep it up on!
 
mjadala huu kwa wakati huu kwa sababu zitto kishatangaza kugombea urais 2015 kupitia chadema na jumamosi iliyopita tar 03/11/2012 jaji warioba aliwatembelea wabunge kusikiliza maoni yao,,kabwe zitto alivyosimama akasema katiba mpya ni bora rais aanzie miaka 35 na akasema kuendelea kushikilia miaka 40 kama umri kwa urais ni upumbavu,,hayo ni ya zitto kabwe ndio maana 2najadili hoja yake hii ya umri hivi sasa.
 
Baada ya msimamo wa muda mrefu wa mhe. Zitto kuutaka urais, msimamo huo umeota mabawa kufuatia pendekezo la tume kuwa mgombea awe na miaka 40 na zaidi.

Hofu kubwa ilikuwa imewajaa mashabiki wa Dr Slaa kutokana na msimamo huo wa kijana machachali na anae kubalika, sio tu na wanachama wengi wa CHADEMA, bali na watanzania kwa ujumla.

Msimamo huo wa mhe. Zitto umekuwa ukimtoa jasho jembamba Dr Slaa kwani alijua fika kuwa yeye kwa mhe. Zitto afui dafu, kwani anajua wazi wazi mhe. Zitto ni mahiri wa kujenga hoja na kushawishi.

Kufuatia mapendekezo ya tume kuhusu umri wa kugombea urais, sasa Dr Slaa na mashabiki wake wamepata kupumua, kama ingekuwa vinginevyo, mhe. Zitto ndio angeshika hatamu ya kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Pole mhe.Zitto, ila ningependa ujue tu wewe ndio ungeleta ushindani wa kweli katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa nafasi ya URAIS.
 
Shibuda ndiyo chaguo la wengi Chadema kugombea urais anakubalika kanda ya ziwa yote ambao ndiyo kuna wapiga kura wengi.
 
Naona watoto wa Lumumba kama kawaida yenu mmejianzishia thread ilimradi pesa iingie, hongera kwenu
 
Back
Top Bottom