Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
tumekuwa taifa la kukurupuka, leo UMRI ndio big deal tena kwa ajil tu ya mtu mmoja!! sasa tubadil katiba kwa sabab yake, vp kesho na kesho kutwa? kila m2 akijipendelea kwenye katiba tutafika tunakoenda?(kama tunaenda) hata hivyo bado hawajatueleza kwanini 35 na si 50 au 30 au 18 kabisa, Bado Tz kuna tatizo kubwa la wa2 wachache kufanya maamuzi pengine ya hovyo kabisa kwa maslah yao wenyewe, anyway tym wl tell!! kuhusu suala la wanawake na wanaume 1;1 me naona halina mashiko, mbona hata hao waliopo bungeni hawatetei wanawake wenzao wapate huduma bora za afya, maji nishat nk? au ubinafsi tu ndo unaopeleka wa2 kunena yao?