Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba


mimi pia naungana na wewe kuwa hayo hapo juu ni mawazo ya rofa kama yalivyo ya marofa wengine
 
Umri wa Urais unatakiwa uongeze hadi iwe miaka 45; Ubunge kweli uwe na kikomo na kusiwe na mbunge anayepita bila kupingwa lazima wote wagombee (viti maalum vifutwe of course)....
 
Maoni ya kipumbavu na kijuha na kama wabunge wa Chadema mmeshiriki maoni haya ya kuweka kipindi cha rais kiwe kimoja1 kwa miaka 7 basi mjue na nyie mmekuwa mafaalla pia na kama mnataka rais wa Zanzibar awe makamu wa rais basi na huo ni ufalllla.

Sijui MODS huwa wanatumia vigezo gani kutoa BAN, nasema sijui kwa kweli.
 
Umri wa Urais unatakiwa uongeze hadi iwe miaka 45; Ubunge kweli uwe na kikomo na kusiwe na mbunge anayepita bila kupingwa lazima wote wagombee (viti maalum vifutwe of course)....

Ahaaa naona unamtengenezea njia rafikiyo kipenzi al maarufu kama joka la mdimu, na unataka kuwaondoa washindani wake wa ukweli ahaaaaa. dunia ina mambo .
 
...miaka 7 alafu turambe garasha kama hili tulilonalo(mr dhaifu) kha!...MUNGU TUEPUSHIE MBALI...
 
haha ndio walichokuwa wamemtonya Zitto?mark wa words tayari paln ni mbaya na execution itakuwa mbovu sana.
Kwa nini watu wanarukwa na roho hivyo wakati CDM inapaa?Kuna sir kubwa sana ktk carpet la CCM kuna uovu mkubwa sana.God Bless kila kitu kita fail.
 
Hawa wabunge walikutana na Tume ya Katiba? Urais miaka 7 wizi mtupu. Mgombea mwenza kwenye ubunge wizi mtupu.

Vijana wengi waliopewa nafasi za kisiasa bado wanaonekana kutokomaa; kuwapa nafasi ya urais kunaweza kuwa na wizi mtupu.

Suala la kuboresha Muungano ni wizi mtupu. In fact, huu Muungano ukiondoka ndiyo tunaweza kuwa na system bora ya utawala. Ona wanavyojichanganya eti Makamu wa Rais atoke Zanzibar as if Rais ni lazima atoke Tanganyika.

Dual citizenship wizi mtupu. Kwa system tuliyonayo Wachina, Waoman, etc wengi watakuwa raia. Watu watakuja kujutia hapa.

Viongozi wa juu kuidhinishwa na bunge impossible unless tuhame kutoka kwenye presidential system to parliamentary system.

Kama majina matatu ya majaji yataidhinishwa na bunge kwenye uteuzi pia bunge litaidhinisha kumsimamisha kazi jaji mkuu?

Viti maalumu vya ubunge vinaweza kuwa na manufaa tuu kama vita-base on their original aim. Siku hizi unamkuta mwanamke ana degree tatu au alikuwa mkuu wa wilaya, au mbunge wa kuchaguliwa lakini sasa eti ni mbunge wa viti maalum. Hata aibu hana.

Suala la wizara kutambuliwa na Katiba ili ziwe chache, inaonyesha tuu jinsi tulivyo bad in governance. Kabisa tunashindwa kukubaliana nje ya katiba kuwa tuwe na wizara chache? Vitu vingine hata haviitaji kuwepo kwenye katiba.

Pendekezo la wabunge kuwa ubunge na udiwani uwe na kikomo ni unafiki tuu unawasumbua. Wenyewe hawawezi kulikubali hilo. Wameshindwa kujipunguzia posho ndiyo sembuse ubunge?

Just imagine hayo ni maoni yaliyotolewa na wabunge wanaotaka kuhodhi madaraka ya nchi. Wakipewa hayo madaraka itakuwaje?
 
msiniambie wametoa point pumba kama hizi.... raisi miaka saba? watu tunataka ipungue mpaka minne...?? mgombea mwenza wanataka kula hela zetu hawa?? raisi wa zanzibar awe makamu... huo ni ujiiiiinga.....
 
Maoni ya kipumbavu na kijuha na kama wabunge wa Chadema mmeshiriki maoni haya ya kuweka kipindi cha rais kiwe kimoja1 kwa miaka 7 basi mjue na nyie mmekuwa mafaalla pia na kama mnataka rais wa Zanzibar awe makamu wa rais basi na huo ni ufalllla.
kaka kumbe nawe umeona .... ila punguza jazba nyingine nipunguzie mie usipigwe ban
 
Maoni ya kipumbavu na kijuha na kama wabunge wa Chadema mmeshiriki maoni haya ya kuweka kipindi cha rais kiwe kimoja1 kwa miaka 7 basi mjue na nyie mmekuwa mafaalla pia na kama mnataka rais wa Zanzibar awe makamu wa rais basi na huo ni ufalllla.

usitukane watu. Nenda kwenye tume ya katiba katoe maoni yako pia.
 
Nimefurahi sana nilipoona hii hoja Dual citizenship ... Panahusika sana hapo... Hii kitu muhimu... Esp kwa diaspora..
 
maoni yamejaa ubinafsi si kwa maslahi ya taifa,ndio maana tunapinga wabunge kuwemo kwenye bunge la katiba kwani wataenda kutetea maslahi yao badala ya kutetea maslahi ya taifa
 

Nakubaliana na wewe. Raisi lazima awe impeached kama kuna kasoro. Na umri kushushwa hapo sikubaliani nawewe.
 

Achana na mawazo mgando. Hatuwezi kuishi sisi kama sisi katika hii dunia inayozidi kuwa ndogo.
Tunahitaji dual citizenship na ku open doors to people of any background and nature to come in Tanzania and work and live.
You think why USA is a powerful nation on earth?
 

Wengi wanadhani dual citizenship ni kwa faida ya wanasiasa waliopo tzn ... Bado hawajui umuhimu wa hii kitu...

Kenya nadhani wanayo.na inawasaidia sana ..
 

nakubaliana na wewe mkuu, good idea hii ya mgombea mwenza ubunge italeta shida
 
Reactions: FJM
Nimefurahi sana nilipoona hii hoja Dual citizenship ... Panahusika sana hapo... Hii kitu muhimu... Esp kwa diaspora..

hii mimi mwenyewe nimeipenda ila tusipo weka vema sheria kama kawaida yetu vichwa vya nazi basi Tanzania itakuwa shamba la bibi kama kawaida hili litahitaji sheria imara ili kusudi mgeni ajaye afanye kazi kwa manufaa ya watanzania wasiojiweza kuwa na uraia wa nchi mbili.
 
Nakubaliana na wewe kasoro kitu kimpja.
Dual citizen kwa mtanzania aliyezaliwa Tanzania na wazazi watanzania kwa nini asiwe na uhuru wa kuwa raia wa nchi nyingine? Kama hiyo nchi itamruhusu kuwa raia wa nchi nyingine?
 
Reactions: EMT
Kwakweli wabunge wetu wamedhihilisha wanadegree za MULUGO. Kama hawa ndo wabunge wanafikilia hivi kumbe ata raisi anajitahidi katika kufikilia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…