Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

i think huyu jamaa ni very pathetic na mwenye uchu wa madaraka,anayependa umaarufu usio na msingi wala tija kwa taifa letu... nikijaribu kuangalia historia yake pindi anaposoma pale UDSM alimuhama mgombea mwenzake na kwenda kuungana na mtu mwingine akiwa na ambition za kuwa president na matokeo yake akaukosa.... kujitangaza kwamba yeye ni mmoja kati ya wanachadema wanaoutaka URAIS ni makosa kwa sababu chama kina taratibu zake na wewe kuwa na ushabiki usio na tija kwa wenzako ambao wanategemea kuwa na wewe utakuwa na msimamo kama wao (upande wao) ni UNAFIKI.... kwa muonekano wa haraka ulio wazi kijana kama ZITTO kupewa urais ni sawa na kuipeleka hii nchi mahala ambapo tutakuja kujuta zaidi ya tunavyojuta sasa ambapo tunaweza kuirekebisha kwa kumpa mtu anayefaa nyadhifa ngumu na sio rahisi kama walivyoiona wanaCCM.... kuwa Rais sio kukaa ikulu,kutoa picha nzuri zenye tabasamu kwa ajili ya kuziweka kwenye ofisi za serikali au za umma au kufurahi na kuchekacheka kwenye halaiki ya watu ukitoa maneno matupu ambayo hayana effect, URAIS ni zaidi ya hapo..... watanzania inabidi tukae tufikirie ili kuweza kupata mtu anayefaa kwa ajilki ya manufaa na mustakabali wa taifa letu lenye miaka 50 lakini bado linaonekana changa katika macho ya mataifa mengine.... "....mungu ibariki tanzania mungu wajalie watanzania waweze kuipata ile nchi yao ya ahadi ambayo wameisubiri kwa miaka mingi pasipo kuwa na mafanikio kutoka kwa wale wanaoiongoza safari ya kufika huko..."
 
niliwahi patwa mashaka sana juu ya hoja ya umri wa rais upunguzwe,kumbe mashaka yangu yalikuwa sahihi.je,ni ushamba gani mgombea urais kugombea walau akiwa na 40?je,ni ujanja gani mtu kugombea mtu akiwa na 35?kwanini isiwe 21 kama nafasi nyingine za uwakilishi kama ubunge na udiwani.tunahitaji nafasi ya urais kutochezewa wakuu,ikulu si pahala pa kuchezea,hawa wanaotumia kila mbinu kujitengenezea mazingira ya kuwa ikulu they very dangerous animals we need a stiff monitoring to control them.umri wa urais ubakie 40 madaraka yapunguzwe hatuhitaji kuiga kila jambo toka wengine nasi tuwe na busara yetu inayotuongoza.
 
Ziiiiittttttoooo...... hufai urais.... !!! una uchu wa madaraka & worst thing is u get bribed easily.....

Tuambie Vogue, Hummer UMETOA WAPI...?? na hela za Mafuta mazito yako wapi...??

Pili UNAPENDA & SEARCHING CHEAP POPULARITY....
acting like celebrity of which ur not... AT ALL....

Lastly u can make a quick look on JF polls kati yako na Dr. Slaa...... aibu, shame, dagway....hujaelewa tu...
ur lying urself.... MSHAMBA NI WW.... so nasty.....

Imagine huyu ndie PRESIDENTIAL ASPIRANT with such a nasty, cheap words....

WHAT..?? u wanna be WHAT..??

& funny enough U DON'T LOOK, THINK, TALK, BEHAVE >>>> PRESIDENTIAL for evrything u know & don't know..

i am wasting time here..... i am out..!!


CONCLUSION = 1: HUNA SIFA HATA MOJA
2: Upo kuiviruga cdm inajulikana
 
inamaana kwa upande wa chadema kati ya wabunge 48 ni zitto peke yake ndiye alishiriki kutoa maoni kuhusu katiba mpya?wabunge wengine walikuwa wapi?au kuna kitu walikwepa walidhani labda wangeulizwa?
Am just eager to know about that...
 
sifa iwe moja tu...18 yrs and above.mwenye sifa ya kupiga kura awe na sifa ya kupigiwa kura.

Hiyo ndio swaafi zaidi, sioni sababu kwanini isiwe hivyo? kama wapiga kura watamkubali kwanini kuwe na vikwazo vya umri?

Au akishaingia utu uzima tu (balehe) iwe anakubalika kupigiwa na kupiga kura, kusiwe na kigezo cha umri.
 
Mimi ningependa ushue chini ya hapo, uwe kuanzia 22 tu.

Kwanini tunawadharau vijana? wakati inajulikana kuwa umri wa kuchapa kazi ni ujanani.



ni kweli kabisa zomba tena wapo hata wenye miaka 18 ambao wana uwezo mzuri tu na elimu ya kutosha!
 
Mods unganisheni na uzi huu hapa

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152109-jk-ataka-rais-ajaye-asiwe-wa-rika-lake-5.html

NB:Msimamo wangu uko pale pale sababu ya umri kuwa 40+ and above haielezwi

Tusiwazuie vijana kwa kutumia nguvu.Kama katiba inamtambua mtu mwenye miaka 18-35 kama kijana,ni kwa nini mwenye umri wa kati from35-40 usipewe uwezo wa kuongoza taasisi ya urais?Pia kwa nini tusiweke ukomo mwisho miaka 80 kwa sababu za kibaiolojia na kisaikolojia?

Hii age 35-40 imenyimwa baadhi ya haki za kuchaguliwa.Nyerere na Akina Lumumba walikua katika group hii walipochukua uongozi.Kwa nini tuwazuie ikiwa tunakubali wameshavuka ujana.Si wananchi wakiona hawafai wataamua wenyewe?tusitumie udikteta wa kisiasa kuhalalisha uhaini wa kidemokrasia kupitia mchakato wa kisheria kwa ghiliba

Zaidi ya vigezo vya umri tuangalie uadilifu na dira sahihi kwa Taifa.

Kwanza hao wabunge nao mbona walikomaa sana na umri wa urais?kuna suala la code of conduct,moral standard n.k
 
Kila mzee aliwahi kuwa kijana.itafika mahali tutasema umri wa mwisho kugombea uwe 50yrs mana ukishaanza kula nyama ya mtu hauachi Mlw alituonya.Kuna hoja ya umri wa kupiga kura mbona haisemwi au haina maslahi??.
 
Nilishasema Zitto ni Sanguine, kwa jamii inayohitaji kwenda mbele ni hatari kuwa nae na kumpa mamlaka,

Akiwa rais anaweza kuja ngonjera za kuongeza umri ilimradi adumu madarakani!

Hili nalo neno..huyu dogo ni sumu mbaya sana katika siasa za nchi yetu,ngoja tujiandae na maziwa endapo tu tutaimeza,ili tuitapike.
 
zitto atuambie ni kigezo gani alichutmia kuset umri wa chini kuwa miaka 35? au kwa kuwa yeye yuko above 35? kuna watu wana miaka 30 nao wanautaka Urais!


UBINAFSI BWANA!

nakumbuka kuna mchangiaji mmoja,i guess ni mzee mwanakijiji,katika mjadala kama huu wa umri wa uraisi aliwahi kusema kwamba hana tatizo na hilo la kushusha umri mpaka 35,ila akapendekeza huo umri uanze kutumiwa katika uchaguzi wa 2020!binafsi hata mimi nilinunua wazo lake!
 
Nilishasema Zitto ni Sanguine, kwa jamii inayohitaji kwenda mbele ni hatari kuwa nae na kumpa mamlaka,

Akiwa rais anaweza kuja ngonjera za kuongeza umri ilimradi adumu madarakani!

Mkuu kuna watu wanapoelezwa ukweli juu ya mstakbali wa taifa hili wanakuona wewe ni adui,sote mashaidi wa nguvu anayoitumia zitto kupigia debe umri ushushwe na ushushwe ambapo yeye taqualify,sasa mimi napata mashaka juu ya njia nyingne anazotumia ili afike atakapo na hzo ndizo zinaleta vurugu matusi na chuki isiyokawaida.mtu huyu ni kumwogopa kama ukoma!
 
ni kweli kabisa zomba tena wapo hata wenye miaka 18 ambao wana uwezo mzuri tu na elimu ya kutosha!

Nakubaliana na hoja yako 100%, hizi sheria za kuweka watu wazima zilikuwa za kihafidhina na kidikteta kujiona wao ndio wenye uwezo wa kila kitu na wanachotaka ndio hicho hicho, ni wakati muafaka tubadilike na tuwawachie wapiga kura waamuwe kumpa uongozi wamtakae.
 
Mwenye haki ya kuchagua awe na haki ya kuchaguliwa pia, kuanzia umri wa kikatiba wa kuchagua mtu awe na haki ya kugombea nafasi ya uongozi wowote kwenye hii nchi! Kama busara ya watanzania wataamua kumpa mtu wa miaka 18 ni uamzi wao na uheshimiwa!
 
zitto atuambie ni kigezo gani alichutmia kuset umri wa chini kuwa miaka 35? au kwa kuwa yeye yuko above 35? kuna watu wana miaka 30 nao wanautaka Urais!


UBINAFSI BWANA!

kimsingi sijawahi mwamini huyu kijana,naona ni janga jingine ambalo kama tukiliafiki litatutafuna mpaka tujute kuwa watz.hana wema anaotuaminisha watz!
 
CHADEMA KUNA VIJIDUDUWATU VIWILI, REAL VINAKERA VINASAHAU KUWA HAPO VILIPO NI KWA SABABU YA CHADEMA, KUNA SHIBUDA MAPANKI NA ZITO, IVI CHADEMA WANASUBILI NINI KUWATIMUA, WAKATI WAZALENDO FR CHADEMA WANAKIJENGA CHAMA WAO WAKO BIZE KUKIVURUGA, HIVI HAWA WANAJITAIDI SANA KUDISCOURAGE JITIADA ZA KINA DR KUKIJENGA CHAMA KWANI WAKO AGAISt KABISA NA JITIHADA HIZI, NA ZITO AJUE KM NI KURA ZA NANI ATAGOMBEA THR CHADEMA AINGIE JF ASOME KWAN TLISHAMGALAGAZA VIBAYA MNO NA WAPIGA KURA NDO SISI, ANGEJIONDOA CDM NA AFIGHT MGOMBEA BINAFSI KT KATIBA. APO ATAENDA VZR NA ATOKOMEZEWE UKO, HII NI MIPANGO YA CCM NAE ANATUMIWA KM MJINGA KABISA
 
Mh Zitto huo ndio ubinafsi. Zitto huna sifa za kuwa kiongozi.... Zitto wewe ni meneja na utaendelea hivyo, maana unakosa sifa za kuwa kiongozi

Kiongozi ni nani? ni mtu mwenye wafuasi, watu wanamuamini, kwa matendo yake na wanamuamini kuwa atawaongoza, na uongozi ni kipaji, kiongizi husoma kongeza ujuzi tu na maarifa, .. lakini meneja husomea kungoza shughuri fulani, na huwa ni kibalaka tu wa kondi fulani, huwekwe kwa natakwa ya hao waliomuweka

Zitto sasa unataka umri wa kuwa raisi wa Tanzania uwe miaka 35, naweza kusema hayo ni mawazo yako binafsi, kwani ulisema unataka kugombea uraisi 2015, ukijua kwa katiba ya sasa, huwezi kuwa na sifa za kuteuliwa na chama chechote kuwania nafasi hiyo.....ubinafs i wako unatoka wapi? ni pale unapotumia nafasi yako kama mbunge, kupenyeza matakwa yako.. hulo la umri wa ugembea uraisi ulitakiwa ukutane na tume kama mwananchi, sio kama mbungu.... kuna msema wanasema viongozi bora husema tulifanya...tutafanya... lakini zito huna kauli hizo, wewe ni nitafanya tu....

Zitto ndani ya CDM kuna wanachama zaidi ya 100 ambao wana umri unaruhusiwa kugombea uraisi mwaka 2015, sidhhani kama suala la umri ndio kipaumbele katika madiliko ya katiba ya sasa, anmay tunadhani kama yatafanyika kwa matakwa na utashi wa watanzania, yanaweza yakaleta tanzania yenye maziwa na asali, lakini huzungumzi haya mabadiliko, unaangalai lenye maslahi kwako tu

Zito bado ni mdogo, ukiwa mvumilivu, una zaidi ya mia 40 mbeye yako, ambazo unaweza timiza ndoto yao ya kongoza tanzania, wanaokushauri, sasa wanakuondolea bahati kama ilikuwepo, kuwa mtulivi, watanzani sio wale uliowaacha wakati huna wote sisi na wewe hatuna kitu, nitofauti sana!
 
Mtu kama zito wala huitaji kumtimua, anajimaliza mwenyewe, kuna msemo wanasema anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe

CHADEMA KUNA VIJIDUDUWATU VIWILI, REAL VINAKERA VINASAHAU KUWA HAPO VILIPO NI KWA SABABU YA CHADEMA, KUNA SHIBUDA MAPANKI NA ZITO, IVI CHADEMA WANASUBILI NINI KUWATIMUA, WAKATI WAZALENDO FR CHADEMA WANAKIJENGA CHAMA WAO WAKO BIZE KUKIVURUGA, HIVI HAWA WANAJITAIDI SANA KUDISCOURAGE JITIADA ZA KINA DR KUKIJENGA CHAMA KWANI WAKO AGAISt KABISA NA JITIHADA HIZI, NA ZITO AJUE KM NI KURA ZA NANI ATAGOMBEA THR CHADEMA AINGIE JF ASOME KWAN TLISHAMGALAGAZA VIBAYA MNO NA WAPIGA KURA NDO SISI, ANGEJIONDOA CDM NA AFIGHT MGOMBEA BINAFSI KT KATIBA. APO ATAENDA VZR
 
CHADEMA KUNA VIJIDUDUWATU VIWILI, REAL VINAKERA VINASAHAU KUWA HAPO VILIPO NI KWA SABABU YA CHADEMA, KUNA SHIBUDA MAPANKI NA ZITO, IVI CHADEMA WANASUBILI NINI KUWATIMUA, WAKATI WAZALENDO FR CHADEMA WANAKIJENGA CHAMA WAO WAKO BIZE KUKIVURUGA, HIVI HAWA WANAJITAIDI SANA KUDISCOURAGE JITIADA ZA KINA DR KUKIJENGA CHAMA KWANI WAKO AGAISt KABISA NA JITIHADA HIZI, NA ZITO AJUE KM NI KURA ZA NANI ATAGOMBEA THR CHADEMA AINGIE JF ASOME KWAN TLISHAMGALAGAZA VIBAYA MNO NA WAPIGA KURA NDO SISI, ANGEJIONDOA CDM NA AFIGHT MGOMBEA BINAFSI KT KATIBA. APO ATAENDA VZR

Wazee ndani ya cdm wanaongozwa sana na busara,hawa wanaodhani wao ni kila kitu hawana muda mrefu watajiengua wenyewe.
 
Uraisi ni nafasi nzito, inayohitaji mtu mwenye uzoefu wa kutosha, kwa sasa hata hiyo 40 haitaoshi labda iwe 50 kabisa

Mwenye haki ya kuchagua awe na haki ya kuchaguliwa pia, kuanzia umri wa kikatiba wa kuchagua mtu awe na haki ya kugombea nafasi ya uongozi wowote kwenye hii nchi! Kama busara ya watanzania wataamua kumpa mtu wa miaka 18 ni uamzi wao na uheshimiwa!
 
Chadema kwanini wasim-delete huyo kibaraka
 
Back
Top Bottom