Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

Tutegemee faida hizi:

1) kutoka uwiano wa masaa 12 ya sasa kulishusha kontena moja kutoka kwenye meli hadi kufikia uwiano wa saa 1 tu.
 
Reactions: Tui
Kuna wakati aliwahi kushauriwa na Marehemu avute bangi tena akamsisitizia atafute ya Njombe ndiyo kali,inawezekana alifuata ushauri huo na sasa bangi hiyo imemuwehusha ndiyo maana anapuyanga sana
 
Nukuu basi alichokisema tukuelewe, usitulishe matango pori.
 
Hamna mbunge pale, watampitisha huu upumbavu Kwa 100%
Kabisa, hakuna mbunge yoyote wa CCM wa kuzuia matakwa ya serikali. Nakumbuka walivyopitisha mkataba wa gas kwa hati ya dharura, kisha Magufuli alivyokuja akawa anaongea kwa sauti ya unyonge kuwa gas sio yetu imeshauzwa.
 
Azimio bado halina majibu ya maswali ya Watanzania yanayoulizwa mitandaoni. Maelezo ni ya kufunga funga mno. Kuna mambo mengi ya kuhoji ikiwa mkataba ni Kati ya Bandari na DP World au Serikali na DP World. In short, mkataba huu ni pumba kabisa.
 
Mkuu kwa mara ya kwanza ninakusoma halafu sijaelewa dhima.

Ngoja nirudi tena kusoma baadaye kwa sababu ninaona unaongelea uzalendo na wakati huo huo unaongelea ulazima wa kutokataa kujimega
 
Kaka P kwenye ubora wako
 
Hadi Mayalla?!

Au mkeka wa juzi umechagiza?

Hongera mkuu.
 
Nukuu basi alichokisema tukuelewe, usitulishe matango pori.
Sijaona cha kunukuu madam, nimeona ni chenga chenga tu. Mfano, anaposema utekelezaji wa mkataba umeshaanza halafu baadaye anasema utekelezaji wa mkataba utafanyika baada ya kuridhiwa na Bunge, nani atalipa gharama za awali za utekelezaji wamkataba iwapo Bunge halitaridhia? Why lugha ya usuluhishi iwe kiingereza tu ilhali sera ya nchi ni kwenda na kiswahili? Kwamba Tanzania itabidi ikodi wanasheria ili wakatetee Tanzania wakati wa migogoro?

Sababu zinazoweza kuvunja mkataba hazijawa wazi?
Maelezo ya Mbarawa hayajaeleza mkataba/ ushirikiano huo ni wa muda gani? Mapungufu ni mengi sana kuliko hizo presumptive benefits zinazotajwa.
 
Umeshaanza kuongelewa siyo kutekelezwa.

Mkataba unaoongelewa ni wa ushirikiano baina ya serikali mbili.

Serikali ya Dubai utashirikiana nayo nini zaidi ya utaalaam wake wa kuendesha bandari?

Fikiri.
 
Azimio bado halina majibu ya maswali ya Watanzania yanayoulizwa mitandaoni. Maelezo ni ya kufunga funga mno. Kuna mambo mengi ya kuhoji ikiwa mkataba ni Kati ya Bandari na DP World au Serikali na DP World. In short, mkataba huu ni pumba kabisa.
Walijua wataingia huu mkataba kinyemela bila watanzania kuufuatilia, sasa kilichotokea kwa mwamko wa watanzania ghafla hawakukitegemea, Mbarawa amechanganyikiwa.
 
Kuna wakati aliwahi kushauriwa na Marehemu avute bangi tena akamsisitizia atafute ya Njombe ndiyo kali,inawezekana alifuata ushauri huo na sasa bangi hiyo imemuwehusha ndiyo maana anapuyanga sana
😅😅😅😅marehemu alikua kiboko aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…