Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kama haujamsikiliza hebu tafuta muda umsikilize. Mimi ni pro investment kupita maelezo, ila kwa huu mkataba, homework zaidi inatakiwa.Umeshaanza kuongelewa siyo kutekelezwa.
Mkataba unaoongelewa ni wa ushirikiano baina ya serikali mbili.
Serikali ya Dubai utashirikiana nao nini zaidi ya utaalaam wake wa kuendesha bandari?
Fikiri.
Bado hakuna mkataba wa utekelaji.Binafsi Sijakataa, isipokuwa vipengele vya mkataba viwe na win win na muda usizidi miaka 20 na wakizingua maamuzi yafanyike kwenye mahakama zetu.
Huyo bibi yuko hapa kulinda "interest" zao usihangaike nae.Kama haujamsikiliza hebu tafuta muda umsikilize. Mimi ni pro investment kupita maelezo, ila kwa huu mkataba, homework zaidi inatakiwa.
Mkataba siyo wa utekelezaji, hakuna mkataba wa utekelezaji mpaka sasa, tusipotoshane.Kama haujamsikiliza hebu tafuta muda umsikilize. Mimi ni pro investment kupita maelezo, ila kwa huu mkataba, homework zaidi inatakiwa.
Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.
Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.
Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali
Je in case bunge wamekataa kupitisha? Tutawafidia?Bado hakuna mkataba wa utekelaji.
Mkataba unaojadiliwa ni "frame work" ya ushirikiano baina ya Serikali ya Dubai na serikali ya Tanzania.
Ni kweli kabisa ukishindwa kufanya kitu kwa ufanisi ni lazima usaidiwe !! Akili zetu za kizamani zimekataa hata klabu za Simba na Yanga kuachiwa wenye uwezo kuziendesha 😅😅!Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.
Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.
Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali
Wala usiwe na shaka, nipo hapa kutetea maslahi ya Tanzania.Huyo bibi yuko hapa kulinda "interest" zao usihangaike nae.
Wakati mwingine huwa tunasaidiwa hata bila kujua 😅 !Mimi hata kama siwezi, mwanaume siwezi saidiwa, nitashika tu hata kwa mkono.
Pascal ni kama unashabikia hii ishu ya bandari Kuuzwa milele na milele. It will never happenWanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.
Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.
Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali
Baada ya miaka yote hii iliyopita na pangua pangua yote ya wakurugenzi iliyofanyika na mambo bado ni yale yale!! Hii maana yake ni moja tu “ Tumeshindwa’. !!Ndio maana mkatuita Wanyonge? Hii ni Slogan ya ajabu mnooooo. Ndugu yangu Kaka Paskali, unaaamini kabisa kuwa hatuwezi? Au hatujataka kuweza??
Toka ile siku picha yake imewekwa kwenye lile ghorofa pale Dubai... Nikasema hapa kuna kitu.Usinifundishe kuongea, siwezi kuheshimu shetani, wewe kama mpagani fanya hivyo, mimi nina dini.
Unajua Samia kapewa nini huko Dubai mpaka anatoa sadaka bandari yetu?
Shutup.
Utawafidia nini wakati hakuna mkataba wa uwekezaji.Je in case bunge wamekataa kupitisha? Tutawafidia?
Mkataba alioweka saini unahusu nini?Msigwa na wengine kina Musukuma na Tulia, wote ni mawakala wa shetani Samia.
Mbarawa kwa kuamua kuweka saini yake kwenye zile terms za hovyo kwenye ule mkataba, anatakiwa kunyongwa.
Kuuzwa hakuna maana Bandari itabaki palepale ilipo isipokuwa managements zitabadilika !! Hapo kinachotafutwa ni mapato na ufanisi uongezeke maradufu !!Pascal ni kama unashabikia hii ishu ya bandari Kuuzwa milele na milele. It will never happen
Samia ni mwanamke mwepesi wa hovyo sana.Toka ile siku picha yake imewekwa kwenye lile ghorofa pale Dubai... Nikasema hapa kuna kitu.