BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
aachiwe aende wapi gentleman?Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.
Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.
Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.
Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
Kiingereza chenyewe cha ugoko uchawa tu akiwa jela ww na familia au ukoo wako mnaingiza kiasi gani ?aachiwe aende wapi gentleman?
muhaini haistahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja tu.
he is belong to the jail or grave in accordance to the law of the land 🐒
Wanatoka chama gani?Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.
Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.
Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.
Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
why don't you reply in your very fluent and brilliant english gentleman?🐒Kiingereza chenyewe cha ugoko uchawa tu akiwa jela ww na familia au ukoo wako mnaingiza kiasi gani ?
Leo Gentleman umeboronga kizungu hadi aibu nimeona mimi!he is belong to the jail or grave in accordance to the law of the land 🐒
Get a life dumb asswhy don't you reply in your very fluent and brilliant english gentleman?🐒
No one in his or her right mind would seek to know whether or not a CCM operative supports the continued detention of CCM’s enemy number one!Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.
Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.
Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.
Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
Andika kiswahili we pumbavu. Nilijua tu shule yako ndogo sana. Unaonyesha jinsi unavyo argueaachiwe aende wapi gentleman?
muhaini haistahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja tu.
he is belong to the jail or grave in accordance to the law of the land 🐒
You walking corpse you must understand about the presumption of innocence that every person accused of any crime is considered innocent until proven guilty.aachiwe aende wapi gentleman?
muhaini haistahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja tu.
he is belong to the jail or grave in accordance to the law of the land 🐒
Ameboronga au amejitahidi sana kwa uwezo wake?Leo Gentleman umeboronga kizungu hadi aibu nimeona mimi!
No Rais Ajaye, we huogopi?Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.
Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.
Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.
Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
🤣🤣Kwani Singida kuna wabunge?