Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wamekuwa hawataki Lissu aachiliwe, too sad

Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.

Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.

Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.

Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.

Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
Hii ni mada chonganishi isiyokuwa na ushahidi wowote.

Siwezi kamwe kuwatetea hao wanaosemwa, hasa Mwigulu na Kitila, lakini tuhuma bila ya ushahidi wowote hata wa kimazingira, huu unabaki tu kuwa uchonganishi.

Hao wabunge hawahitaji kwenda kwa Samia kumwomba asimwachie huru Tundu Lissu. Samia mwenyewe hana nia kabisa ya kumwachia Tundu Lissu bila ya kushurutishwa.

Samia anasubiri shurti asiyoweza kuikataa, ambayo karibuni itamfikia tu.
 
Wanamjua vema sana moto wake
Mtu kama Mwigulu na Kitila wanajuwa vitumbua vyao vitatiwa mchanga. Hawa ni lazima wafanye kila linalowezekana Tundu Lissu aendelee kukaa jela ili waendelee kufaidika.
 
Hao wabunge uchwara waambie wamtume huyo madelu huko kwenye kamati ya jumuia ya madola aende akawachimbe mikwala na yale masharubu yake.

Shubaaamit!
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho.
Awamu hii wameshikwa pambaya lazima waufyate kenge hawa.
 
Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.

Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.

Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.

Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.

Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
Lissu atatoka Kwa ushujaa maana ameshawagonga mashahidi wa mchongo
 
Icho chuma sio mchezo kimetesa wengi waliojaribu kiua wamebaki wakienda wao ....alitoa kauli mbegu ikavunwa 29 Oct damu ikamwagwa hasa japokuwa anachopikipigania ni kweli ndo maana anaogopwa
Mbeba maono
 
aachiwe aende wapi gentleman?
muhaini haistahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja tu.

he is belong to the jail or grave in accordance to the law of the land 🐒
Sawa bwana hakimu ambaye umeshapata ushhahidi wa kumuhukumu lisu kwa kosa la uhaini. Mungu amekaa pale anawaona.
 
Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.

Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.

Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.

Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.

Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
Hivi kuna wabunge nchi hii? Walipatikanaje?
 
You walking corpse you must understand about the presumption of innocence that every person accused of any crime is considered innocent until proven guilty.

Under the presumption of innocence, the legal burden of proof is thus on the prosecution, which must present compelling evidence to the trier of fact (a judge or a jury). If the prosecution does not prove the charges true, then the person is acquitted of the charges.

The prosecution must in most cases prove that the accused is guilty beyond a reasonable doubt
I think,
without fear of contradictions and beyond reasonable doubt the gentleman will be pleaded guilty and sentenced to be hanged to death in accordance to the law of the land 🐒
 
Sawa bwana hakimu ambaye umeshapata ushhahidi wa kumuhukumu lisu kwa kosa la uhaini. Mungu amekaa pale anawaona.
Just relax gentleman,

Mwenyezi Mungu yupo kila mahali pamoja na kila mja wake, sasa na hata milele Aimen 🙏
 
Utalala wewe kwenye grave sio tundu lisu
Gentleman,
kwenye grave tutakwenda sote bila mihemko au kiherehere cha yeyote, ispokua kwa mapenzi ya Allah,

but huyo muungwana kibaraka, atakwenda huko kwa mujibu wa sheria na kulingana na makosa yake ya makusudi ya kukiuka sharia za nchi aliyoyafanya hadharani 🐒
 
Andika kiswahili we pumbavu. Nilijua tu shule yako ndogo sana. Unaonyesha jinsi unavyo argue
Gentleman mwenye shule kubwa,
huna haja ya kua na mihemko useless jukwaani,

na jitahidi kuandika kiswahili fasaha bila kujipiga kifua kwa kuandika kiswanglishi huku ukijiona mwereeevu kumbe umejaa makasiriko tu moyoni 🐒
 
I think,
without fear of contradictions and beyond reasonable doubt the gentleman will be pleaded guilty and sentenced to be hanged to death in accordance to the law of the land 🐒
You will always stay thinking on rubbish things on your mind.
 
Back
Top Bottom