Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
reduce useless mayhem and the discussion will make sense gentleman šYou will always stay thinking on rubbish things on your mind.

Wanahofia kitumbua chao kuingia mchanga, Maana uchaguzi wa Haki ukipitiswa wao hawako salama!Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.
Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.
Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.
Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
"in accordance WITH the law."I think,
in accordance to the law of the land š
sawa ticha nakubali."in accordance WITH the law."

Mbona Mbowe alikuwa na kesi ya uhaini na kaachiwa?aachiwe aende wapi gentleman?
muhaini haistahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja tu.
he is belong to the jail or grave in accordance to the law of the land š
Swala hapa sio eneo alilotoka mtu, Ccm utawala wote wanamuogopa lisu akitoka, akawa huru, kufanya siasa, hakuna kenge wa ccm atarudi bungeni, wote wanamuogopa moto wa lisu, mchemba ndio jambazi kubwa kabisaLeo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila cha ajabu ni kwamba pia kuna kamati ama kikundi cha Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wa Majimbo na wale wa kuteuliwa hawa wamekuwa hawataki kabisa Lisu kuachiliwa na wana hadi Vikao vyao vya kujadili hili swala na wanafanya fanya vikao mara nyingi na huwa wanamtuma Mwiguru Nchemba kwa Mama amwambie kwamba wao hawako tiyali kabisa kuona Lisu anaachiliwa.Ila pia Mwiguru yeye ndio kinara wa kupushi hio kampeni kwa kuwatumia saba wabunge wenzake wa Singida, Mwiguru na Nyalandu nimedokezewa ni watu wenye pushing kubwa sana.
Mbali na Wabunge hao pia yumo Mbunge kutoka Dar es salaam Kitila Mkumbo, Nimedokezw hadi kuna anaye tishia kujiudhuru endapo tu Lisu ataachiliwa huru.
Hii imenifikirisha sana hawa ndugu zake ndio walipaswa kuwa msatari wa Mbele kumpigania ndugu yao ila kumbe ndio hawataki kabisa aachiliwe wanatamani afie huko. Too sad kwa kweli.
Mara nyingi sana wamekuwa wanaweka vikao hasa Dodoma kama kipindi cha Bunge na mara mbili au tatu wamemtuma Mwiguru afikishe msimamo wao kwa Mama, msimamo ambao pia wamekuwa wanadai wametumwa na Wazee wa Mkoa wa Singida kitu ambacho kinaweza kuwa sio cha kweli.
Hata mimi Mtoto wa Shule SITAKI aachiliwe. Jamaa anaropoka utafikiri hajalelewa na wazazi wenye akili! Alaaahh!!Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.