Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wamekuwa hawataki Lissu aachiliwe, too sad

Hii ni mada chonganishi isiyokuwa na ushahidi wowote.

Siwezi kamwe kuwatetea hao wanaosemwa, hasa Mwigulu na Kitila, lakini tuhuma bila ya ushahidi wowote hata wa kimazingira, huu unabaki tu kuwa uchonganishi.

Hao wabunge hawahitaji kwenda kwa Samia kumwomba asimwachie huru Tundu Lissu. Samia mwenyewe hana nia kabisa ya kumwachia Tundu Lissu bila ya kushurutishwa.

Samia anasubiri shurti asiyoweza kuikataa, ambayo karibuni itamfikia tu.
 
Wanamjua vema sana moto wake
Mtu kama Mwigulu na Kitila wanajuwa vitumbua vyao vitatiwa mchanga. Hawa ni lazima wafanye kila linalowezekana Tundu Lissu aendelee kukaa jela ili waendelee kufaidika.
 
Hao wabunge uchwara waambie wamtume huyo madelu huko kwenye kamati ya jumuia ya madola aende akawachimbe mikwala na yale masharubu yake.

Shubaaamit!
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho.
Awamu hii wameshikwa pambaya lazima waufyate kenge hawa.
 
Lissu atatoka Kwa ushujaa maana ameshawagonga mashahidi wa mchongo
 
Icho chuma sio mchezo kimetesa wengi waliojaribu kiua wamebaki wakienda wao ....alitoa kauli mbegu ikavunwa 29 Oct damu ikamwagwa hasa japokuwa anachopikipigania ni kweli ndo maana anaogopwa
Mbeba maono
 
aachiwe aende wapi gentleman?
muhaini haistahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja tu.

he is belong to the jail or grave in accordance to the law of the land πŸ’
Sawa bwana hakimu ambaye umeshapata ushhahidi wa kumuhukumu lisu kwa kosa la uhaini. Mungu amekaa pale anawaona.
 
Hivi kuna wabunge nchi hii? Walipatikanaje?
 
I think,
without fear of contradictions and beyond reasonable doubt the gentleman will be pleaded guilty and sentenced to be hanged to death in accordance to the law of the land πŸ’
 
Sawa bwana hakimu ambaye umeshapata ushhahidi wa kumuhukumu lisu kwa kosa la uhaini. Mungu amekaa pale anawaona.
Just relax gentleman,

Mwenyezi Mungu yupo kila mahali pamoja na kila mja wake, sasa na hata milele Aimen πŸ™
 
Utalala wewe kwenye grave sio tundu lisu
Gentleman,
kwenye grave tutakwenda sote bila mihemko au kiherehere cha yeyote, ispokua kwa mapenzi ya Allah,

but huyo muungwana kibaraka, atakwenda huko kwa mujibu wa sheria na kulingana na makosa yake ya makusudi ya kukiuka sharia za nchi aliyoyafanya hadharani πŸ’
 
Andika kiswahili we pumbavu. Nilijua tu shule yako ndogo sana. Unaonyesha jinsi unavyo argue
Gentleman mwenye shule kubwa,
huna haja ya kua na mihemko useless jukwaani,

na jitahidi kuandika kiswahili fasaha bila kujipiga kifua kwa kuandika kiswanglishi huku ukijiona mwereeevu kumbe umejaa makasiriko tu moyoni πŸ’
 
I think,
without fear of contradictions and beyond reasonable doubt the gentleman will be pleaded guilty and sentenced to be hanged to death in accordance to the law of the land πŸ’
You will always stay thinking on rubbish things on your mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…