Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wamekuwa hawataki Lissu aachiliwe, too sad

Wanahofia kitumbua chao kuingia mchanga, Maana uchaguzi wa Haki ukipitiswa wao hawako salama!
 
Lazima waogope maana hawana brains za kufanya engagement yoyote ya hoja na Lissu.

CCM ya ulingo wa hoja ilishaisha saa hizi wanachoweza ni kuvamia watu usiku wamelala wakawateke na kuwapoteza au kuwapiga risasi.

Nchimbi akiwa katibu mkuu wa CCM aliwahi kuingia mitini katika mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa.
 
aachiwe aende wapi gentleman?
muhaini haistahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja tu.

he is belong to the jail or grave in accordance to the law of the land πŸ’
Mbona Mbowe alikuwa na kesi ya uhaini na kaachiwa?
 
Swala hapa sio eneo alilotoka mtu, Ccm utawala wote wanamuogopa lisu akitoka, akawa huru, kufanya siasa, hakuna kenge wa ccm atarudi bungeni, wote wanamuogopa moto wa lisu, mchemba ndio jambazi kubwa kabisa
 
Hata mimi Mtoto wa Shule SITAKI aachiliwe. Jamaa anaropoka utafikiri hajalelewa na wazazi wenye akili! Alaaahh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…