Wacha Weeh. Jamaa amekaa na Rais ame relax kabisa kama yupo home kwake. Rais yupo social sana

Wacha Weeh. Jamaa amekaa na Rais ame relax kabisa kama yupo home kwake. Rais yupo social sana

Ni aibu kwa Taifa asee!!, ofisi ya Umma yenye nguvu na power zote mbele ya bendera ya Taifa kidume kinachati na kuongea na Rais bila kujali kipo sehemu gani?.

Kikwete na uzinzi wake sikuwahi ona kapiga au kakalisha mwanamke ikulu kwa staili hii?, kwamba jamaa hakujua kama yupo ikulu au Samia aliona ni kawaida?.
Km viongozi wa nyadhifa za juu wanamsujudia leo huyu kitubo wajameniii dah... Hii imenisikitishaaaa sanaaaa.... Ccm mnatufedhehesha watamzania. 😭😭😭😭😭✋
 
Aisee dah linani hili lijamaa, kwa raha zake
Hahaha Millionaire wa Zimbabwe alafu ni ana 40 years tu anaitwa WIKNELL CHIVAYO kama sikosei, ana chenchi chenchi mkuu acha kabisa...PESA INAHESHIMIKA SANA
 

Attachments

  • images.jpeg-1.jpg
    images.jpeg-1.jpg
    11.9 KB · Views: 23
  • images.jpeg.jpg
    images.jpeg.jpg
    44.6 KB · Views: 18
Back
Top Bottom