TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Labda mguu wake wa kushoto una matatizo...!!
Lucas Mwashambwa wenzako wako flexible ww unahangaika Tu uku mitandaoniNyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu.
Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
Gen Z mna shida sanaJiheshimu ili uheshimiwe!
Lucas Mwashambwa akiiona hii picha atabubujikwa na machozi
Lianzishwe jukwaa la madogoGen Z mna shida sana
MACHAWA WENGI WANAUME WAMEKUWA NA TABIA ZA WAMAMA SANA..HAKUNA MWANAUME CHAWA WA CCM HAJASALITIWA NA MKE WAKE AMA DEMU WAKE.Nyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu.
Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
Uku ndo mganga mwenyewe huyuAisee! Mbona inashangaza sana mtu wa kawaida asiye na mamlaka kuketi namna hiyo Mbele ya Rais
Usinichonganishe na mamlaka.Una uhakika gani kuwa siyo kinyume cha swali lako?
Na ndo wanawake walivyoMama ukiwa na fedha tuu umemuwin
Hata kama ana chenji ndio atudharau hivyo nchi nzima kwa ujinga wa Samia? Watu wakisema huyu mama hana akili ya Urais, mnasema wana mtukana! Akili yake finyu Ndio maana anauza maliasili zetu kifisadi ; wakuu wanaomkataza anawaondoa madarakani! Hivi sasa anauza mbuga za wanyama wanaume wa Tanganyika wamelala usingizi wa Pono!Hahaha Millionaire wa Zimbabwe alafu ni ana 40 years tu anaitwa WIKNELL CHIVAYO kama sikosei, ana chenchi chenchi mkuu acha kabisa...PESA INAHESHIMIKA SANA
Dogo chalii ni Mzimbabwe huyo, ila ni mwanangu sana. Tushapiga dili nyingi pamojaHuyo jmaa ana undugu na Monetary doctor au kama sio hvo ni ndugu na Vishu Mtata
Kama hao wote wakikataa huyo ni Dennis Roberts
Hii aliirusha mwenyewe huyo mgeni kwenye mtandao wake wa kijamiiShida ni ustaatabu wa Zimbambwe, huko inaonekana hakuna guidelines kwenye etiquette za unapokutana na kiongozi wa nchi on accepted behaviour.
Kwa upande wetu pia tumeonyesha upuuzi wa watu tuliowaweka Ikulu katika kitengo cha mawasiliano, kurusha picha kama hizo.
It’s just disrespectful kwa mamlaka ya raisi wa Tanzania, but then ni kutokana na kualika watu wa hovyo-hovyo Ikulu.
😂😂😂😂😂 Rais wa vingunguti... Nakubali sanaDogo chalii ni Mzimbabwe huyo, ila ni mwanangu sana. Tushapiga dili nyingi pamoja
Elections rigging master in Africa.Ndo nani
Elections rigging master in Africa.