kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Labda pesa imemtuma kukaa vile.
Acheni uogaNi aibu kwa Taifa asee!!, ofisi ya Umma yenye nguvu na power zote mbele ya bendera ya Taifa kidume kinachati na kuongea na Rais bila kujali kipo sehemu gani?.
Kikwete na uzinzi wake sikuwahi ona kapiga au kakalisha mwanamke ikulu kwa staili hii?, kwamba jamaa hakujua kama yupo ikulu au Samia aliona ni kawaida?.
Km viongozi wa nyadhifa za juu wanamsujudia leo huyu kitubo wajameniii dah... Hii imenisikitishaaaa sanaaaa.... Ccm mnatufedhehesha watamzania. 😭😭😭😭😭✋
EEEEEENHEEEEN!Nyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu. Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
Sasa kuna kipi cha ajabu hapo!Kabisa. Hakuna aliyesema ni Malaika
Ndiyo aketi kama yupo na demu wake?Sasa kuna kipi cha ajabu hapo!
kupiga picha na rais?!
Tuwe na heshimaUkute mchepuko
Amefanania yule mtoto bonge wa Magufuli.Ndo nani
Sir Wicknel Chivhoy's
Kama ndiye huyo dah, mbona jamaa ana historia tata sanaSir Wicknel Chivhoy's Zimbabwean Billionaire(tycoon)...
Mama ukiwa na fedha tuu umemuwinNyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu. Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
Mabalozi wanaoendaga kujitambulisha na wageni mbali mbali tunaowaonaga waepiga picha ikuluNyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu.
Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
AiseeMchepuko
Kifo ni kifo tuNyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu.
Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
Taswira na heshima ya ikulu imesha haribiwa kabisa ,wahuni ndio wana ingia ikulu halafu tunajifanya tuna usalama wa taifa wakati nchi inaingizwa shimoniNdiyo aketi kama yupo na demu wake?
Kuna namna haya mambo hayaletwi isivyo bahati kwa sisi watanzania. Hawa watu wanaomwekpoze Rais na madudu ya ikulu ni kama wanatufikishia ujumbe jinsi huyo madam asivyofaa kuwa Rais.
Hapa mpiga picha ameleta ujumbe wa " ONENI IKULU YENU WATZ INAVYOFANYWA"
Kichwa box kabisa kama marekani ndio role model wako iga basi na democracy ya marekan, kwenye ujinga ndio mnapenda kutumia mataifa makubwa ila kwenye haki mnajifanya marekani kama haipo dunianiKama tafsiri ya dharau ni jinsi Jamaa alivyokaa,basi Wabongo tutakuwa na shida fulani..tafuta picha za Elon...Yuko na bwana Trump( Rais wa Dunia)..utaona jinsi sisi tunavyopoteza muda kujadili vitu petty na kuacha mambo ya muhimu kwa Taifa.