Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
😁😂😁🤣😁😁Kifo ni kifo tu
Hiyo picha inahuzunisha na kusikitisha sana. Yaani inamuonesha huyo jamaa ana nguvu na mamlaka kuliko huyo mwenyeji wake!!Aisee! Mbona inashangaza sana mtu wa kawaida asiye na mamlaka kuketi namna hiyo Mbele ya Rais
Hao ndiyo wenye CCM yaoHuyu jamaaa ni nani
Bila shaka Kuna kitu ana present Kwa Mheshimiwa. Na ana refer kwenye simu yake. Ila huo mkao duuuh! Shida hapo ni huo mwili ndo unamfanya asiwe comfortable kuketi kitako, inabidi akalie mgongo ili apate balance vizuri. Tusimlaumu.Nyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu.
Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
Shida ya kumpa mwanamke Kila kitu kwenye kayak. Huyu mama wanaume washamjuliaNyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu.
Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
Uraisi unakoma pale unapoanza kuwa mpiga dili.Aisee! Mbona inashangaza sana mtu wa kawaida asiye na mamlaka kuketi namna hiyo Mbele ya Rais
Background Check:Nyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu.
Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
View attachment 3352083
Watu mnamchukulia Rais Kama Mungu
Sio wa kawaida huyo, anaitwa sir wickwell anatoka Zimbabwe.....bilionea na wanasema ni mtu wa system pia ndomana ana pesa ndefuuu🤗Huyu ni nani,jamani?
sina undugu na wandengereko Mimi 😂... Nawasubr wandengerekoHuyo jmaa ana undugu na Monetary doctor au kama sio hvo ni ndugu na Vishu Mtata
Kama hao wote wakikataa huyo ni Dennis Roberts
Background Check:
Wicknell Chivayo (22 November 1982) is a Zimbabwean businessman and socialite