Wacha Weeh. Jamaa amekaa na Rais ame relax kabisa kama yupo home kwake. Rais yupo social sana

Ni aibu kwa Taifa asee!!, ofisi ya Umma yenye nguvu na power zote mbele ya bendera ya Taifa kidume kinachati na kuongea na Rais bila kujali kipo sehemu gani?.

Kikwete na uzinzi wake sikuwahi ona kapiga au kakalisha mwanamke ikulu kwa staili hii?, kwamba jamaa hakujua kama yupo ikulu au Samia aliona ni kawaida?.
Km viongozi wa nyadhifa za juu wanamsujudia leo huyu kitubo wajameniii dah... Hii imenisikitishaaaa sanaaaa.... Ccm mnatufedhehesha watamzania. πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­βœ‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…