Wacha Weeh. Jamaa amekaa na Rais ame relax kabisa kama yupo home kwake. Rais yupo social sana

Acheni uoga
 
Kwani huyu jamaa si tapeli mkubwa sana huko zimbabwe?na inajulikana ana scandals zake, anapataje ruhusa na kuonana na mh. Raisi?
 

Attachments

  • SmartSelect_20250531_182953_Chrome.png
    163.2 KB · Views: 22
EEEEEENHEEEEN!
 
Sasa kuna kipi cha ajabu hapo!
kupiga picha na rais?!
Ndiyo aketi kama yupo na demu wake?

Kuna namna haya mambo hayaletwi isivyo bahati kwa sisi watanzania. Hawa watu wanaomwekpoze Rais na madudu ya ikulu ni kama wanatufikishia ujumbe jinsi huyo madam asivyofaa kuwa Rais.

Hapa mpiga picha ameleta ujumbe wa " ONENI IKULU YENU WATZ INAVYOFANYWA"
 
Mama ukiwa na fedha tuu umemuwin
 
Mabalozi wanaoendaga kujitambulisha na wageni mbali mbali tunaowaonaga waepiga picha ikulu
wanakuwa wamekaa kiheshima,sasa wakiona picha hii si watasikitika sana?
 
Kifo ni kifo tu
 
Taswira na heshima ya ikulu imesha haribiwa kabisa ,wahuni ndio wana ingia ikulu halafu tunajifanya tuna usalama wa taifa wakati nchi inaingizwa shimoni
 
Kama tafsiri ya dharau ni jinsi Jamaa alivyokaa,basi Wabongo tutakuwa na shida fulani..tafuta picha za Elon...Yuko na bwana Trump( Rais wa Dunia)..utaona jinsi sisi tunavyopoteza muda kujadili vitu petty na kuacha mambo ya muhimu kwa Taifa.
Kichwa box kabisa kama marekani ndio role model wako iga basi na democracy ya marekan, kwenye ujinga ndio mnapenda kutumia mataifa makubwa ila kwenye haki mnajifanya marekani kama haipo duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…