Wacha Weeh. Jamaa amekaa na Rais ame relax kabisa kama yupo home kwake. Rais yupo social sana

Na waliopo ikulu nao si wa hovyo.
 
Pozi hilo sio lakuongea vitu serious vyakiserikali. Tena mbele ya bendera mtu kajiachia kama Yuko kwa naniliu...
 
Nilichojibiwa na Google kuhusu Jamaa

Who is Wicknell Chivayo in Zimbabwe?


Wicknell Chivayo (22 November 1982) is a Zimbabwean businessman and socialite known for his controversial rise to wealth and subsequent involvement in high-profile corruption scandals
 
Aisee! Mbona inashangaza sana mtu wa kawaida asiye na mamlaka kuketi namna hiyo Mbele ya Rais
Kwani yuko uchi?
Maelekezo ya kukaa na Raisi yanasemaje?
Je,nia ya kufanya hivyo una uhakika kuwa mwenyeji haijui?
Je,ni kwa nini hii picha tu imeletwa huku na siyo nyingine?
 
Wadau hivi huwa ni ruksa kuingia na vyombo vya mawasiliano pale nyumba nyeupe?

Ninavyofahamu mimi unapigwa search na unaacha mawasiliano mwamba naona ameingia na simu mbili.

Naomba ufafanuzi.
 
Wadau hivi huwa ni ruksa kuingia na vyombo vya mawasiliano pale nyumba nyeupe?

Ninavyofahamu mimi unapigwa search na unaacha mawasiliano mwamba naona ameingia na simu mbili.

Naomba ufafanuzi.
Hapo kuna madili machafu yanasukwa hapo huyo jamaa ni very corrupt na watu wa namna hiyo kwao hamnaga protocal kabisaa lakini kingine rais mwenyewe naye ni mtu asiye na maadili kuanzia yeye mwenyewe hata kwenye namna anavyoendesha nchi yaani ni zaidi ya uswahili
 
Una uhakika gani kuwa siyo kinyume cha swali lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…