luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kwahyo ajali za barabarani ni wachaga tu? Narrowed mindsHata wewe hapo hutaishi milele.
Sasa kwanini ukiugua unaenda hospitali?
Kwanini ukiwa unatembea barabarani, umatembea pembeni na siyo katikati kwenye njia ya magari.
Kwanini ukitaka kuvuka barabara unaangalia kulia na kushoto na kama hakuna magari ndio unavuka.
Haya yote unafanya ya nini wakati kama ni KUFA UTAKUFA tu?
Kwamba mimi nimesema ni wachagga?Kwahyo ajali za barabarani ni wachaga tu? Narrowed minds
Hili mie naweza nikakubaliana nawewe kwa asilimia 100% ajali nyingi ni matokeo ya ku loose control ya magari na hii yote ni sababu ya kupenda overtake za ajabu ajabu tu😎!Ajali nyingi zinatokana na uzembe sio speed peke yake
💯💯Eti ni kweli wachaga wanaongoza kwa kuazima/kukodisha magari ili waende nayo kilimanjaro kwa maonyesho?
MTOA MADA NAPENDA KUKUMBUSHA YAFUATAYO:
AJALI IKITOKEA; KUNA
1. AJILA KWA WATU WA GEREJI(KUMBUKA HAWATENGENEZI GARI NZIMA KULE)
2. KUNA KAZI KWA WATU WA YA BIMA
3. KUNA KAZI KWA BREAKDOWN/ CRANE
4. KUNA KAZI KWA HOSPITALI/NA WAUZA MADAWA
5. KUNA FURSA KWA WAUZAJI MAJENEZA
6. KUNA FURSA KWA WACHUNGAJI WANAO KUJA KUZIKA (WANAPEWA POSHO)
7. KUNA FURSA KWA WAAGIZAJI MAGARI
8. KUNA FURSA KWA VIBAKA PIA
9. ............
10 ............
11 ..............
KILA ULIFANYALO NI FURSA KWA WENGINE
USISIKITIKE SANA MKUU, UNAWEZA ZUIA FURSA KWA WENGINE NA HUU SIO UZALENDO WETU WATZ
UKIWEZA FUTA TU NA HUU UZI WAKO.
Wachaga wanamiliki hadi ndege sembuse magari? Hebu tutake radhiEti ni kweli wachaga wanaongoza kwa kuazima/kukodisha magari ili waende nayo kilimanjaro kwa maonyesho?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka mzima unashinda dukani, eti December unataka udrive hadi Moshi.
Watu wanasafiri daily matukio mbalimbali kila siku we unaona dec tu mkuu? Watu wanaenda zika, sherehe, mahari etc... jipambanue.Mwaka mzima unashinda dukani, eti December unataka udrive hadi Moshi.
Huu umaskini wako wa roho sasa[emoji706]Eti ni kweli wachaga wanaongoza kwa kuazima/kukodisha magari ili waende nayo kilimanjaro kwa maonyesho?
Kwahiyo umekikimbia kifo.Ukijiona ulipata akili na maamuzi yakufanya hayo yakujinusuru na ukafanikiwa jua haikua imepangika uzurike maana ikiwa imepangika utajikuta tu aidha kitandani au juu mawinguni mwili ukiwa umeuacha ndani ya droo lenye baridi.pole sana.Mmh..Leo Kama sio kuruka..ningekuwa nimelala au nimekufa!
Boda boda zitatumaliza..
Huu ukweli binadamu hawataki kuukubali.Kiukweli, hata ufanyeje, kitakachokuwa, kitakuwa, hata ufanyeje.
Kama una gari, tembea speed kadri uwezavyo.The most stupid argument of the year
Wimbo ulio bora unapigwa.... parapanda italia parapanda..×2UBISHI UNAPONZA
(1) Dar-Himo natumia masaa 8 tu,
(2) mengi sana, mi natumia 6 tu.
(3) hamfai, masaa 4 tu yanatosha, nasahau na safari...
Kifuatacho! NIAGIENI