Wachaga endekezeni speed barabarani, mtakwisha!

πŸ˜€ "Majufuli"
 
Kuna watu wako hai right now as you bring this concern lakini kabla ya tarehe kama hizi mwezi ujao yaani Januari 2022 kuna watu watakuwa hawapo tena , watakuwa wamepoteza/watapotezwa maisha yao sababu tu ya ajali za barabarani zitokanazo na mwendokasi na uzembe kwa ujumla.

Chukueni tahadhari nendeni pole pole kwa usalama akwambiae akupenda.

Mleta mada mimi nimekuelewa vizuri sana.
 
Mkiambiwa ukweli mnaanza kuleta ukabila vijana wetu wa kichaga punguzeni Mwendo wazazi tunawahitaji sana .sisi wazee wenu mmetukuta na toyota pickup Za kizamani Kungekuwa fafu msingetukuta, wana msingesoma nani angewasomesha kumbukeni Mnawatoto wadogo na wafamilia wenzenu wengi wameachq familia sababu ya vifo na ajali wengine wako Migombani ni vilema wa kudumu . Mkionywa anza kusema ukabila ni kweli vijana wetu wako rafu sana. usiposikia la Mkuu uvunjika Guu.
 

Pole sana mkuu take it easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…